Ushauri wenu unahitajika hapa

Mtoroshe...huwa wamasai wanamila ya kuoa kwa mwanaume kumtorosha binti na wewe fanya hivyo....yaani anahamia kwako bila idhini ya wazazi. Watakupiga faini maisha yanaendelea.
Mbona kama cv yangu kwa jamii yangu niliyoetengeneza itaharibika kwa Kasi kubwa nikitorosha maana tumekutanikia kanisani
 
Mapenzi yalinitia upofu kama wewe, ila niliishia kuachana na mwanamke akiwa na mimba ya miezi 9, akazaa after two weeks

nimejifunza kupita kiasi.

tani hata akigoma mtoto wa miaka mitano, sitaoa kamwe!!
Shida binti ni wife material mtupu
 
pambana na ukipendacho mkuu usikubali kuacha mtu unayempenda nenda kamwage hela
 
Unaweza kuua simba ndugu yetu pendwa kutoka daslam.... wale huwa hawana shida ya pesa, wanataka mkia wa simba dume
 
Mama mtu hana sauti mbele ya vijana wake. Vijana wake wameshikilia kipengele Cha waswahili( makabila tofauti na wamasai) hawezi kujenga boma( kudumu na familia).
Kwani hao kaka zake ndo waliomzaa au ndiyo waliamua dada yao azaliwe?

Hapo chukua binti anza kuishi naye maana imeandikwa mtu ataachana na baba na mama yake ataambatana mwenza wake....


Vitu vingine ni ubaguzi wa wazi. Wamasai ni wabaguzi balaa ingawa haisemwi sana
 
Shida binti ni wife material mtupu
Fata taratibu za kabila husika, nyege mshindo hizo zisikupofushe macho, kwa vigezo gani ulivotumia kuthibitisha hayo, huwajui hilo kabila wewe. Tafuta mzee wa heshima wa kabila husika akupe data. Otherwise unajitafutia matatizo tu
 
Dahh broo Pima kwanza mitambo kama IPO sawa usije ukajutiaa baada yakuoaa
 

Tumia huu ushauri
 
Kwa namna wanavyonikazia inaonekana
 
Fata taratibu za kabila husika, nyege mshindo hizo zisikupofushe macho, kwa vigezo gani ulivotumia kuthibitisha hayo, huwajui hilo kabila wewe. Tafuta mzee wa heshima wa kabila husika akupe data. Otherwise unajitafutia matatizo tu
Noted
 
Wanawake wakimasai ni wazuri maana utawapelekesha ila sio kwa mambo ya kijinga ni yakimaendeleo.
Wamasai wanajiheshimu , wapole wanatafakari jambo kabla ya kutoa maamuzi na pia wanaheshimu jamii inayowazunguka ila hawapendi watu wasiofaa
Inawezekana, maana nimeomba kaka zake mara nyingi bado wamekaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…