habari zenu wana Jf nimekuja kwenu kuomba ushauri kwan nilikuwa na mvulana kwa miaka sita na kuahidiana kutofanya chochote mpaka tuoane. mwaka jana alikuwa akiniambia yuko tayari kunioa lakini suala la kupima kwake halina maana na kukataa kwenda kupima kila nikimshauri ananijibu kuwa hataki kusikia suala la kupima na kwake halina maana mwisho wake alisema kwamba tuachane kwani tumepishana viswahili hatuwezi kuwa pamoja nina choomba ushauri ni kwamba kwa siku hizi ananipigia simu na kuniambia kuwa sijaona thamani yake ntaijua baadaye kisa nimeng'ang'ania kupima na yeye hataki af ananiambia kuwa nimemkataa yeye ni mwanaume makini na catapata kama yeye jamani nishauri huyu anataka nini kwangu na wakati tumeshaachana kisa kisa ni kuhusu kupima.
Hv BONDEIGAL humu ktk blue unamaanisha nini? kupima? unamaanisha kiwanja? unamaanisha U.U.M.E wake? unamaanisha uzito wake na wako? unamaanisha nguo za harusi? unamaanisha nini mamii?
alaani yule pimbi anayetaka jf ifungiweHv BONDEIGAL humu ktk blue unamaanisha nini? kupima? unamaanisha kiwanja? unamaanisha U.U.M.E wake? unamaanisha uzito wake na wako? unamaanisha nguo za harusi? unamaanisha nini mamii?
Huo ndo ukweli wenyewe hili liko wazi unapoachana na mtu huwezi kumpata tena kama yeye watu tunatofautiana kwa kila kitu iwe kuanzia maumbile,kwa mazuri hata mabaya unapoachana na mtu usitegemee kuyakuta yale yale unaweza kukuta mazuri sana au baya binadamu tuko tofauti hata kama mmezaliwa tumbo mojaHalafu huwa i hate sana mtu mnaachana et anasema "u will never get someone like me".
Sio mpaka awepo mtu wa kuya sema hayo ndo iwe halali kuna mambo huwezi kupingana nayo kutoka na ukweli wake.who said that?????