Ushauri wenu tafadhali, niko njia panda

Ushauri wenu tafadhali, niko njia panda

Unaweza kukaa nae ukamshauri kua ts time he has to stand alone,,,kama kweli mna future atakuelewa ila kama hataki kukuelewa mtu wa namna iyo atakurudisha nyuma
 
Mchane laivu blaki endi waiti alafu majibu yake utajua nn cha kufanya umpige chini au la but kwa ushauri zaidi baada ya kuongea nae lete jukwaani au nipm tuone tunafanyaje
 
Itapendeza kama utaweza kumbadilisha atakueheshimu mbeleni wengine shida ni malezi, kwahiyo kwa hekima MUNGU aliyekujalia jaribu kumshauri,bila kuonyesha dharau.kuna watu wengine maisha yao yanabadilika baada ya kukutana na mtu sahihi pengine wewe ndio mtu wa kumbadilisha.kwa kuanza unaweza kumwambia akusaidie kununua vitu vya ndani unapotaka kuhamia.alafu muulize kama anakiwanja kama hana tafuta mshauri anunue.alafu kidogokidogo utamwambie akuongeze mtaji wa biashara.tumia hivi kama kipimo kwake akishindwa mwenye atakimbia,mwambie kwa vitendo kwamba unataka mwanaume wa aina ghani
 
mimi kila nikitoa ushauri naambiwa naongea pumba
Ngoja nikae kimya tu!
 
Sometimes we need people to wake us up...! Yani wewe kuna mambo unayafanya na - kwa mtazamo wako - unajiona uko so perfect ila anakuja mtu anakupa mtazamo tofauti ndo unafikia ile "Ahaa" stage and you change for good!

Kabla hujamwambia suala la kuachana, kwa nini usimwambie suala la kujitegemea na kutafuta miradi mingine besides his job?

Je, ukiachana na kazi yake ana kitu kingine (si lazima kiwe biashara..inaweza kuwa hobby) ambacho anafanya?

Ombi langu kwako ni hili; kama kweli unampenda...(malizia)
 
unafikiri jf watakushauri vizuri zaidi ya akili yako na uhitaji wa moyo wako?
 
Sometimes we need people to wake us up...! Yani wewe kuna mambo unayafanya na - kwa mtazamo wako - unajiona uko so perfect ila anakuja mtu anakupa mtazamo tofauti ndo unafikia ile "Ahaa" stage and you change for good!

Kabla hujamwambia suala la kuachana, kwa nini usimwambie suala la kujitegemea na kutafuta miradi mingine besides his job?

Je, ukiachana na kazi yake ana kitu kingine (si lazima kiwe biashara..inaweza kuwa hobby) ambacho anafanya?

Ombi langu kwako ni hili; kama kweli unampenda...(malizia)
Ha ha ha ha
Mentor umenifurahisha kwa kweli na umeongea point kwa utaratibu wa hali ya juu
Nimekuelewa na nimegundua kumbe i can be that woman remarkable kwenye maisha yake
Naahidi kuufanyia kazi ushauri wako na ntakuja na feedback hapa
 
Dada yangu inabidi umchunguze anaweza kuwa ana mradi au ata anajenga wengine wanaona ela ya kupanga bora aongezee tofali alafu iyo sio sababu ya kumuacha ongea nae mjue mnamalengo gani wengine wanajua malengo yao ni kuoana tu awawazi kuwa na kitu chochote zaidi ya watoto zawadi anazotupa Mungu sisi wanaume ni wasiri sana kama shida ni hiyo tu zungumza naye sema wanawake mkishika viela mnaona wanaume wasikuwa na ela watoto Wa mama usimfananishe na wengine wengine wezi wabeba unga mafanikio yana siri kubwa
 
Dada yangu inabidi umchunguze anaweza kuwa ana mradi au ata anajenga wengine wanaona ela ya kupanga bora aongezee tofali alafu iyo sio sababu ya kumuacha ongea nae mjueo mnamalengo gani wengine wanajua malengo yao ni kuoana tu awawazi kuwa na kitu chochote zaidi ya watoto zawadi anazotupa Mungu sisi wanaume ni wasiri sana kama shida ni hiyo tu zungumza naye sema wanawake mkishika viela mnaona wanaume wasikuwa na ela watoto Wa mama usimfananishe na wengine wengine wezi wabeba unga mafanikio yana siri kubwa
Nimekuelewa ila unaposema tukishika vihela hauko sawa coz,mi kwa income siwez kumkuta kabisa ,ye kanizidi
 
afrique njoo kwa hustle mwenzako achana na huyo mboga tatu

Nipo Kyela Vijijini,njoo tulime huku
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya kufanya maamuzi yeyote muulize Mungu kwanza kama huyu kijana ndiye ubavu wako sahihi kwa maisha ya ndoa. yeye kuishi kwao bado misioni kama ni tatizo lamsingi. zipo sababu nyingi zinazoweza kumfanya mtu aendelee kuishi kwao. nivema ukaongea naye ukajua sababu yake pia. otherwise akili za kupewa changanya na zako.
 
Kama kiatu kinakubana kwanini ulazimishe kukivaa? Kama jamaa ni mtoto wa mama ni busara umuache utafute mtoto wa baba!!
 
Nimekuelewa ila unaposema tukishika vihela hauko sawa coz,mi kwa income siwez kumkuta kabisa ,ye kanizidi

Apo ndo pakukaa chini na kushauriana ndo utamfanya ajue yuko na mtu anayewaza mbali na pia utamfungua akili bila kuzungumza naye tena Kwa mazungumzo ya kawaida siyo ya kutishana umpime akili zake na mawazo Yake utakuwa umepata jibu sahihi unaweza kukuta kweli kajisahau na wamama wengine wanaona faraja kukua na watoto wao ata asemi kwao kua amekua Kwa nini asione raha kufungua mapoti mfungue wewe mwenyewe
 
Ha ha ha ha
Mentor umenifurahisha kwa kweli na umeongea point kwa utaratibu wa hali ya juu
Nimekuelewa na nimegundua kumbe i can be that woman remarkable kwenye maisha yake
Naahidi kuufanyia kazi ushauri wako na ntakuja na feedback hapa

Hatari sana
 
Sometimes we need people to wake us up...! Yani wewe kuna mambo unayafanya na - kwa mtazamo wako - unajiona uko so perfect ila anakuja mtu anakupa mtazamo tofauti ndo unafikia ile "Ahaa" stage and you change for good!

Kabla hujamwambia suala la kuachana, kwa nini usimwambie suala la kujitegemea na kutafuta miradi mingine besides his job?

Je, ukiachana na kazi yake ana kitu kingine (si lazima kiwe biashara..inaweza kuwa hobby) ambacho anafanya?

Ombi langu kwako ni hili; kama kweli unampenda...(malizia)

.....atamlinda 😀😀😀
 
Tafuta ambaye unaona yupo perfect kwako. huyo mwenzio hana presha ya maisha. wewe wala usimlaumu wapo wanaompenda wa type hyo. mimi sioni kama ana kosa ila wewe ndo una makosa kwa kuwa na mume tajiri au maskini ni uamuzi wako.
 
Apo ndo pakukaa chini na kushauriana ndo utamfanya ajue yuko na mtu anayewaza mbali na pia utamfungua akili bila kuzungumza naye tena Kwa mazungumzo ya kawaida siyo ya kutishana umpime akili zake na mawazo Yake utakuwa umepata jibu sahihi unaweza kukuta kweli kajisahau na wamama wengine wanaona faraja kukua na watoto wao ata asemi kwao kua amekua Kwa nini asione raha kufungua mapoti mfungue wewe mwenyewe
Nimekupata kwa uzuri ,asante
 
Unaweza kukaa nae ukamshauri kua ts time he has to stand alone,,,kama kweli mna future atakuelewa ila kama hataki kukuelewa mtu wa namna iyo atakurudisha nyuma

Ntaongea nae kwa hekima busara na utaratibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom