Ushauri wenu ni muhimu sana

Ushauri wenu ni muhimu sana

people.s poweeeer
lowasa mabadiliko
mabadiliko lowasa




fanya ivi we mpe akune ILA mwambie kwanza asubili baada ya tar 28 akipita lowasa mpe asipopita mwambie msizoeane kabsa
 
Nawashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi labda ni kweli hakunipenda nitajitahidi kuushinda moyo ingawa ni ngumu sana
 
Dadaaa kichwa kinakuuma zaid maana umeona kitu kimegonga30..... Yaani linakuchwea bila ndoa....... Usiwaze ndoa wew itakufanya utoe rehani maisha yako..... Be easy njo kwangu tukapime nikuzalishe katoto kamoja kawe kanakusumbua sumbua uache kuwaza ndoa
 
Yaani kwa maelezo yako huyo.mwanaume alitaka akulambe asepe.......

Hebu mdelete fasta
 
Yaani kwa maelezo yako huyo.mwanaume alitaka akulambe asepe.......

Hebu mdelete fasta

Mwanaume Gan Anatongoza Na Siku Hiyo Hiyo Anataka Tunda? Kingine Bidada Yuko Cheap Sana Ajitahd Kujiweka Classic Dharau Za Kuombwa Tunda Kama Mtu Anaokota Embe Zisiwepo
 
kwanza kupima afya muhimu ,huenda Mungu anakuepusha na janga ,pitia salma cone hapo upunguze stress
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom