Ushauri wenu ndugu zangu

Ushauri wenu ndugu zangu

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,205
Wasaalam
Mimi ni kijana wa makamo tu nipo chuo mwaka wa mwisho sasa..kuna binti ni mpnz wangu wa mda mrefu karibu mwaka sasa tulikua tunapenda sana hadi ikafika steji nikamtambulisha kwa wazazi wangu kua nikimaliza chuo anaweza kua mke wangu wa ndoa..
Juz wakati nipo kwenye mitiani yangu ya semister nikaamua kumpigia mchumba wang Uck niongee nae ilikua mida ya sa4 uck ikawa simu yake inatumika nikawa nampigia mara kwa mara mpk sa7 nikaamua kulala zangu ikumbuke nina mitian asbh nikampigia nikamuuliza jana uck ulikua unaongea na nani? Akanijb rafiki yangu..nikamuuliza rafk yko gani unayeongea nae mda wote uo ata kuona simu yangu hustuki?
Majibu yake sasa..
Nanukuu..bwana ee wewe unatakaje? Aya nilikua naongea na mwanaume unaamuaje? Niliishiwa nguvu akaendelea..
Kwanza nilikua nakusuburi umalize mitian nikupe suprize mimi nipo kwa ajili ya kulipiza kisasi kuna mwanaume nilimpenda sana akatoa hdi mahari kwetu lakin akanikimbia sasa wewe nakuona kama walewale tu..umelia sana na watalia wengi sana jpo nakupenda wewe lkn naumia naona kama nitakutesa tafuta wa kuishi nae wakati upo na mimi...
Nimefanya uchunguzi binafsi nimegundua kuna binamu yake anampa kiburi kwa vile anakauwezo flni kimaisha mimi sina kitu kwa vile bdo nipo masomoni..
Naombeni ushauri wenu nifanyeje kwa vile mama angu aliniambia nisimpelekee msichana mwingine zaid ya yule kwa vile wanapendana sana na ni marafiki wa karibu
 
kashakupa tahadhari...atakusumbua ukiamua kuendelea nae..tena sana
 
Achana nae hakuna msichana hapo,kitendo cha kukueleza ukwel ni kama amekuponya
 
^^
Huyo mwanamke ni mwelewa sana, muwazi na mkweli.
Amejiweka wazi na wajibu unaokuangukia sasa ni wewe kusubiri kuhitimu, utampata aliye sawa na wewe!
Maji hayalazimishwi kupanda mlima
^^
 
Wasaalam
Mimi ni kijana wa makamo tu nipo chuo mwaka wa mwisho sasa..kuna binti ni mpnz wangu wa mda mrefu karibu mwaka sasa tulikua tunapenda sana hadi ikafika steji nikamtambulisha kwa wazazi wangu kua nikimaliza chuo anaweza kua mke wangu wa ndoa..
Juz wakati nipo kwenye mitiani yangu ya semister nikaamua kumpigia mchumba wang Uck niongee nae ilikua mida ya sa4 uck ikawa simu yake inatumika nikawa nampigia mara kwa mara mpk sa7 nikaamua kulala zangu ikumbuke nina mitian asbh nikampigia nikamuuliza jana uck ulikua unaongea na nani? Akanijb rafiki yangu..nikamuuliza rafk yko gani unayeongea nae mda wote uo ata kuona simu yangu hustuki?
Majibu yake sasa..
Nanukuu..bwana ee wewe unatakaje? Aya nilikua naongea na mwanaume unaamuaje? Niliishiwa nguvu akaendelea..
Kwanza nilikua nakusuburi umalize mitian nikupe suprize mimi nipo kwa ajili ya kulipiza kisasi kuna mwanaume nilimpenda sana akatoa hdi mahari kwetu lakin akanikimbia sasa wewe nakuona kama walewale tu..umelia sana na watalia wengi sana jpo nakupenda wewe lkn naumia naona kama nitakutesa tafuta wa kuishi nae wakati upo na mimi...
Nimefanya uchunguzi binafsi nimegundua kuna binamu yake anampa kiburi kwa vile anakauwezo flni kimaisha mimi sina kitu kwa vile bdo nipo masomoni..
Naombeni ushauri wenu nifanyeje kwa vile mama angu aliniambia nisimpelekee msichana mwingine zaid ya yule kwa vile wanapendana sana na ni marafiki wa karibu

Daa pole sana! I know how does it feels to loose someone whom you thought she is the woman of your dream' but don't give up maana Mungu anapokupa mtihani huwa anakupa na suluhu it's just a matter of time! God is a master planer!

Shukuru kakwambia ukweli' kazi kwako!! Nimempenda bure huyo mdada maana amekusaidia kwakukuambia ukweli' kulikoni angeanza kukuletea vituko! Kazi kwako sasa!
 
pole sana kkpiga moyo konde.maliza masomo kwanza.mimi wangu alibeba mimba ya mtu mwingine ndio akaniambia.
 
sijui kwanini umejiita kazitunayo! Lakini tuache hayo...mshukuru sana Mungu kwa kukuonesha hilo mapema, na binti ameshakuelezea wazi kabisa. songa mbele, maisha yanaendelea. Wako yupo sehemu, mwombe Mungu atakuonesha muda utapofika.
 
Dah!Haya mapenzi mtu anaweza kufa kwa kihoro, hivi kweli huo mtihani ulifanyika kweli??!!Ila shukuru huo ukweli aliokupa ndiyo iwe dawa ya maumivu uliyopata maana huko mbele, kuna balaa!!
 
Sasa hapo kuna cha kushauriwa kweli mbona kila kitu kitu kipo wazi,kumbuka ww ndio unayeumia moyoni mama yako bila ya ww asingemjua huyo binti,cha msingi next time usikimbilie kumtambulisha binti nyumbani kabla hujamchunguza vya kutosha
 
sijui kwanini umejiita kazitunayo! Lakini tuache hayo...mshukuru sana Mungu kwa kukuonesha hilo mapema, na binti ameshakuelezea wazi kabisa. songa mbele, maisha yanaendelea. Wako yupo sehemu, mwombe Mungu atakuonesha muda utapofika.

si ndo hapo ashaambiwa ukweli hataki kukubaliana nao anataka amnganganie mwisho wa siku amfumanie chumbani ndo aelewe kwamba sio wake.
 
..mmh! Ila tusimsemee saana ndugu yangu, unajua mapenzi upofu. Huenda anaamini ipo siku binti atabadili mawazo arudi kwake
 
enyi vijana sikilizeni,mnapokuwa masomoni,acheni mchezo wa mapenzi,mnawapa uchungu wazazi wenu,wazazi wanakusomesheni,kwa gharama nyingi sana ,matokeo ni ku supp na kudisco,masomo na mapenzi hupotea-by mbaraka mwinshehe
 
Mbuzi unaambiwa unapelekwa picnic vingunguti na wewe unakubali tu
 
Pole sana,ila usisikitike sana kwani kila likuepukalo lini kheir na wewe,afadhali amekwambia mapema,na ukisema kua mzazi wako amekwambia usimpeleke mwengine zaidi ya huyo vuta subra maliza mitihani ukienda nyumbani mueke chini mzazi wako mpe ukweli atakuelewa tuu,usilazimishe kua na mtu asie kutaka wapo wengi wasokua na ufedhuli kama wake.
 
Huyo mwanamke msh....zy, yaani anakupa taarifa kama hizo kipindi cha mitihani? Huo ni ubinafsi wa hali ya juu.
I hav been through similar experience ila mi nilikata communication kabisaa na niko poa kabisaa.
Wewe move on achana naye, atakusumbua hata ukimuoa
 
Sasa hapo kuna cha kushauriwa kweli mbona kila kitu kitu kipo wazi,kumbuka ww ndio unayeumia moyoni mama yako bila ya ww asingemjua huyo binti,cha msingi next time usikimbilie kumtambulisha binti nyumbani kabla hujamchunguza vya kutosha

Hivi mpaka hapo anasubiri nini?? Dude move on!!!
 
Back
Top Bottom