D Decision Member Joined May 6, 2020 Posts 36 Reaction score 36 May 11, 2020 #1 Najikuta kutoweza kaa na kitu moyoni yani nikikisikia tu situlii nacho nataka kuacha hii tabia nifanyeje nina mtindo wa kupanic. Sent using Jamii Forums mobile app
Najikuta kutoweza kaa na kitu moyoni yani nikikisikia tu situlii nacho nataka kuacha hii tabia nifanyeje nina mtindo wa kupanic. Sent using Jamii Forums mobile app
majoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 2,706 Reaction score 5,111 May 11, 2020 #2 Kwani inakusumbua nini? ukipata kitoe uwe na amani. Cha kuzingatia usiongeze chumvi wala kauongo; sema kweli daima.
Kwani inakusumbua nini? ukipata kitoe uwe na amani. Cha kuzingatia usiongeze chumvi wala kauongo; sema kweli daima.
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 May 11, 2020 #3 Una nyota ya umbea
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,650 Reaction score 81,555 May 11, 2020 #4 Hicho nikipaji ..mkuu...kikubwa nikukiku
D Decision Member Joined May 6, 2020 Posts 36 Reaction score 36 May 11, 2020 Thread starter #5 joshua_ok said: Una nyota ya umbea Click to expand... Simaanish mambo ya umbea mimi sio mmbeya yan mfano kama nimesikia kitu kusu mimi nakuwa sio mvumilivu yan lazima nipanic Sent using Jamii Forums mobile app
joshua_ok said: Una nyota ya umbea Click to expand... Simaanish mambo ya umbea mimi sio mmbeya yan mfano kama nimesikia kitu kusu mimi nakuwa sio mvumilivu yan lazima nipanic Sent using Jamii Forums mobile app
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,856 Reaction score 89,755 May 11, 2020 #6 Decision said: Simaanish mambo ya umbea mimi sio mmbeya yan mfano kama nimesikia kitu kusu mimi nakuwa sio mvumilivu yan lazima nipanic Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ukishapanic nini kinafuata?
Decision said: Simaanish mambo ya umbea mimi sio mmbeya yan mfano kama nimesikia kitu kusu mimi nakuwa sio mvumilivu yan lazima nipanic Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ukishapanic nini kinafuata?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 May 11, 2020 #7 Decision said: Najikuta kutoweza kaa na kitu moyoni yani nikikisikia tu situlii nacho nataka kuacha hii tabia nifanyeje nina mtindo wa kupanic. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Karibu sana JF.
Decision said: Najikuta kutoweza kaa na kitu moyoni yani nikikisikia tu situlii nacho nataka kuacha hii tabia nifanyeje nina mtindo wa kupanic. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Karibu sana JF.
D Decision Member Joined May 6, 2020 Posts 36 Reaction score 36 May 11, 2020 Thread starter #8 Joanah said: Ukishapanic nini kinafuata? Click to expand... Naanza,kuongea ongea Sent using Jamii Forums mobile app
Joanah said: Ukishapanic nini kinafuata? Click to expand... Naanza,kuongea ongea Sent using Jamii Forums mobile app
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,856 Reaction score 89,755 May 11, 2020 #9 Decision said: Naanza,kuongea ongea Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mie naona uko kama binadamu walio wengi Kusikia mtu kakuongelea(mfano kakuongelea kwa ubaya ama kwa jambo hujafanya) ni kawaida kupanic....hiyo kuongea ongea inaweza ikawa ni moja ya njia ya kuondoa hasira kwa upande wako(wapo wanaolia)
Decision said: Naanza,kuongea ongea Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mie naona uko kama binadamu walio wengi Kusikia mtu kakuongelea(mfano kakuongelea kwa ubaya ama kwa jambo hujafanya) ni kawaida kupanic....hiyo kuongea ongea inaweza ikawa ni moja ya njia ya kuondoa hasira kwa upande wako(wapo wanaolia)
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 May 11, 2020 #10 Joanah said: Ukishapanic nini kinafuata? Click to expand... Kujiharishia
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 May 11, 2020 #11 Decision said: Simaanish mambo ya umbea mimi sio mmbeya yan mfano kama nimesikia kitu kusu mimi nakuwa sio mvumilivu yan lazima nipanic Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... πππ...i bet uko btn 20-27! Ukikua utaacha!...jitahidi kutobeba mambo moyoni mwako...jitahidi kuwa postive!pole
Decision said: Simaanish mambo ya umbea mimi sio mmbeya yan mfano kama nimesikia kitu kusu mimi nakuwa sio mvumilivu yan lazima nipanic Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... πππ...i bet uko btn 20-27! Ukikua utaacha!...jitahidi kutobeba mambo moyoni mwako...jitahidi kuwa postive!pole
White party JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 1,037 Reaction score 1,179 May 11, 2020 #12 Hahahaaa kweli tuambie kwanza una umri gani