Ushauri wangu Kwa Yanga baada ya msimu huu kumalizika

patrickk

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
685
Reaction score
5,647
Hongereni wananchi....

Tujipange msimu ujao, ushauri wangu... Dirisha hili la usajili... Hatuna namna lazima tusajili beki wa katikati wa akiba, Yanga tumekua tukibweteka Sana na eneo hili kutokana na bahati ya kwamba Dickson job na Ibra Bacca wamekua wakicheza misimu Kwa misimu bila kupata majeraha, hili eneo inabidi tulitafakari maana tunaona mamnyeto umri unaanza kumtupa mkono, tujiuze tu iwapo mtu kama bacca apate majeraha ya muda katikati ya msimu(kwenye soka haya mambo yapo), je tuna backup ya maana kuendelea kucheza mechi zetu bila hofu?

Tusajili beki potential tu asie na makuu Sana kama backup sio beki ambae atakuja na lengo ya kuanza first 11 Moja Kwa Moja, bacca na job Bado wanatosha Kwa Sasa

Eneo la kiungo Sina Sana shida nalo, maana abuya anaweza kucover namba ya aucho

Pale Kwa Aziz K tunahitaji mbadala, winga pia lazima tupate mwingine mwenye uwezo wa kupunguza watu maana pacome wote tunajua historia yake ya majeraha.....

Kwenye mshambuliaji Bado sielewi, dube kama ana click anapotea nashindwa kumpa imani Moja Kwa Moja ila nahisi msimu ujao atabadilika

Swala la msingi kuliko lote, aisee bacca mpeni mkataba wa kueleweka, huyu jamaa angekua na wakala mjanja mjanja kama wa kibu d, angetutesa Sana aisee, bacca ni mchezaji na nusu hakikisheni mafao yake yanaendana na jasho lake uwanjani, Kuna kipindi miaka ya nyuma kipindi kile Bado mayele yupo nilisoma mikataba ya wachezaji bacca alikua analipwa 1M aisee nusu nitapike, ndo wakaja kumpa mkataba mpya kipindi kile tumeenda kucheza Zanzibar sijajua ni wa kiasi gani, bacca ndo beki Bora Tanzania maslahi Yake yanapaswa kuwazidi karibu mabeki wote nchini, yanga msipuuzie hili, mpira ni kazi siku akiondoka kama kina fei walivyoenda tusibaki tunashikana uchawi

Ni hayo tu
 
Sawa mkuu, ila kipindi chote aucho alivyokua majeruhi naona duke ndo alikua anaziba nafasi yake, ila aucho naona Bado ana msimu mmoja au miwili mizuri mbeleni
Aucho tayari tunashukuru Kwa huduma yake,Yanga itafute mtu number 6,dube atakuwepo kusaidiana na Sowah..mzinze anauzwa
 
Ushauri mzuri kabisa.
Hapo kwa Ibrahim Ahmad (Bacca) wafanye haraka mno.
Prince Dube siyo big match player zile za kimataifa.
Mzinze anamzidi Dube kwenye mechi kubwa hasa kimataifa. Sema ndiyo vile inabidi kijana akakuze kipaji na kipato nje ya nchi.
 
Mzize nae Kuna muda anakukera Kuna muda anakua mtu kweli, mzize akibaki na beki mmoja hua Sina wasiwasi anaweza kumtoka, akibaki na kipa Sasa hua ana maamuzi Kuna muda yanakubali kuna muda anakuchekesha, ila dube aisee sio striker wa ku force kama tulivyokua na mayele, hawezi kuamua mechi yeye kama yeye, ukiwa na mtu kama dube alafu viungo wasimlishe vizuri hawezi kabisa kuforce goli
 
Aucho tayari tunashukuru Kwa huduma yake,Yanga itafute mtu number 6,dube atakuwepo kusaidiana na Sowah..mzinze anauzwa
Hapa nakataa
Wachezaji kama kina Dube na Sowah bado wakawaida sana kwa ndoto za kimataifa na ndo mana mwaka juu tuliangukia pua mapema! Lazima vishuke vitu vizito
 
Kwa Level yetu ya uchumi watu hao ndio Bora kwetu,usitegemee zaidi..usifikiri Simba wanapenda kua na ateba+mukwala...Ukitoka daraja la Sowah Means mtafute Mayele,Uwezo huo hatuna..
 
Hongereni wananchi....

Tujipange msimu ujao, ushauri wangu... Dirisha hili la usajili... Hatuna namna lazima tusajili beki wa katikati wa akiba, Yanga tumekua tukibweteka Sana na eneo hili kutokana na bahati ya kwamba Dickson job na Ibra Bacca wamekua wakicheza misimu Kwa misimu bila kupata majeraha, hili eneo inabidi tulitafakari maana tunaona mamnyeto umri unaanza kumtupa mkono, tujiuze tu iwapo mtu kama bacca apate majeraha ya muda katikati ya msimu(kwenye soka haya mambo yapo), je tuna backup ya maana kuendelea kucheza mechi zetu bila hofu?

Tusajili beki potential tu asie na makuu Sana kama backup sio beki ambae atakuja na lengo ya kuanza first 11 Moja Kwa Moja, bacca na job Bado wanatosha Kwa Sasa

Eneo la kiungo Sina Sana shida nalo, maana abuya anaweza kucover namba ya aucho

Pale Kwa Aziz K tunahitaji mbadala, winga pia lazima tupate mwingine mwenye uwezo wa kupunguza watu maana pacome wote tunajua historia yake ya majeraha.....

Kwenye mshambuliaji Bado sielewi, dube kama ana click anapotea nashindwa kumpa imani Moja Kwa Moja ila nahisi msimu ujao atabadilika

Swala la msingi kuliko lote, aisee bacca mpeni mkataba wa kueleweka, huyu jamaa angekua na wakala mjanja mjanja kama wa kibu d, angetutesa Sana aisee, bacca ni mchezaji na nusu hakikisheni mafao yake yanaendana na jasho lake uwanjani, Kuna kipindi miaka ya nyuma kipindi kile Bado mayele yupo nilisoma mikataba ya wachezaji bacca alikua analipwa 1M aisee nusu nitapike, ndo wakaja kumpa mkataba mpya kipindi kile tumeenda kucheza Zanzibar sijajua ni wa kiasi gani, bacca ndo beki Bora Tanzania maslahi Yake yanapaswa kuwazidi karibu mabeki wote nchini, yanga msipuuzie hili, mpira ni kazi siku akiondoka kama kina fei walivyoenda tusibaki tunashikana uchawi

Ni hayo tu
Ushauri wng mshahara wa dube alipwe mzize full stop.
 
Upo sah

Hongera sana Mwananchi

Hongera sawa mwananchi. Upo sahihi sana mtu wa mpira wewe. Kwa upande was ushambuliaji, ni kweli Dube bado tunamdai lakini mm namhitaji msimu ujao tena nikiamini bado ana kitu. Tetesi ni kwamba Eng. Hersi keshamalizana na Sowah, mtu ambaye hadi sasa ameweza kuwa nora sana ku convert nafasi anazopata kuwa magoli. Huhu akija pale itakuwa ni walkpu call wa Dube na atabadilika. Wa upande was beki ibaki kama ulifyoshauri. Kwa mawazo yangu tunahitaji sasa him replace Aziz Ki kwa kupata namba 10 mwenye kariba ile au zaidi ili inapotokea washambuliaje wameshindwa kufanya kitu basi yy aiamue match. Pia nadhani tunatakiwa tupate namba 6 mwenye kariba ya Dr. Halid Aucho au zaid maana Duke Abuya ni bora zaidi akicheza namba 8 maana hata wakati anatoka Singida wakati mwengine alikuwa anacheza namba 10 na alikuwa bora pia. Nadhani pia ni wakati was kuwapa nafasi wachezaji kwengine ambao hawatumiki waende team nyingine ili vipaji vyao viendelee,

Ninachoamini hadi sasa hv Eng. Her is keshamaliza ku pin point wachezaji anaowataka na wapo kwenye mazungumzo ya kumalizana.

Pia kwa kumalizia kunatakiwa kutafuta coach mwenye kariba ya Gamond au Nabi ( coach katili) huyu tuliyenaye naona kama anabebwa na uwezo was wachezaji.

Karibuni na wengine.
 
Uchambuzi mzuri Sana kiongozi
 
Hongereni wananchi....

Tujipange msimu ujao, ushauri wangu... Dirisha hili la usajili... Hatuna namna lazima tusajili beki wa katikati wa akiba, Yanga tumekua tukibweteka Sana na eneo hili kutokana na bahati ya kwamba Dickson job na Ibra Bacca wamekua wakicheza misimu Kwa misimu bila kupata majeraha, hili eneo inabidi tulitafakari maana tunaona mamnyeto umri unaanza kumtupa mkono, tujiuze tu iwapo mtu kama bacca apate majeraha ya muda katikati ya msimu(kwenye soka haya mambo yapo), je tuna backup ya maana kuendelea kucheza mechi zetu bila hofu?

Tusajili beki potential tu asie na makuu Sana kama backup sio beki ambae atakuja na lengo ya kuanza first 11 Moja Kwa Moja, bacca na job Bado wanatosha Kwa Sasa

Eneo la kiungo Sina Sana shida nalo, maana abuya anaweza kucover namba ya aucho

Pale Kwa Aziz K tunahitaji mbadala, winga pia lazima tupate mwingine mwenye uwezo wa kupunguza watu maana pacome wote tunajua historia yake ya majeraha.....

Kwenye mshambuliaji Bado sielewi, dube kama ana click anapotea nashindwa kumpa imani Moja Kwa Moja ila nahisi msimu ujao atabadilika

Swala la msingi kuliko lote, aisee bacca mpeni mkataba wa kueleweka, huyu jamaa angekua na wakala mjanja mjanja kama wa kibu d, angetutesa Sana aisee, bacca ni mchezaji na nusu hakikisheni mafao yake yanaendana na jasho lake uwanjani, Kuna kipindi miaka ya nyuma kipindi kile Bado mayele yupo nilisoma mikataba ya wachezaji bacca alikua analipwa 1M aisee nusu nitapike, ndo wakaja kumpa mkataba mpya kipindi kile tumeenda kucheza Zanzibar sijajua ni wa kiasi gani, bacca ndo beki Bora Tanzania maslahi Yake yanapaswa kuwazidi karibu mabeki wote nchini, yanga msipuuzie hili, mpira ni kazi siku akiondoka kama kina fei walivyoenda tusibaki tunashikana uchawi

Ni hayo tu
Dick ndo beki mzuri sana pale yanga
Tunamuona Bacca kwa ajili ya dick
Sikatai bacca ni mzuri sana but ni mzuri zaidi kucheza ile man to man ie kiatu kiatu!
Ila Dick ni mzuri sana ktk anticipation na kuanzisha move kutokea nyuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom