Wema Mungu amekujalia sura ya kuvutia, wazazi waliokupatia mahitaji yako muhimu mpaka umefika hapo na pia umejaliwa Nyota ya kupendwa. Yachukulie haya kukujenga wewe.
Hapa duniani hakuna asiyefanya makosa, wengine tunalipia makosa yetu kwa gharama kubwa sana, cha muhimu ni kuakisi maisha yako na kuona ulikosea wapi.
Kuna watoto wasio na wazazi au walezi, Wema unaweza kulipa fadhila kwa Mungu kwa kukujalia wewe wazazi, unatafuta nyumba na kukusanya watoto ukawapa malezi mema, kuwapa matibabu na elimu. Hapa duniani utakumbukwa na ahera (kama ipo) utakuwa umejiwekea thawabu kubwa sana.
Wema umejaliwa nyota ya kupendwa. Miss Tanzania 2006 ni mtu ambae hachagui watu wa kujichanya nao. Mtoto wa balozi ungeweza kuwa na marafiki wa matawi tu, lakini Wema wewe ni wa kipekee, huchagui watu kwa hali zao. Wema ukifanya Fund Rising Dinner kwa kukusanya hela za kulelea watoto wa mitaani muitikio wake utakuwa mkubwa sana.
Wema wewe ni mtoto wa Kiislam, ni muda wa kumrudia Mungu, vaa kistara, haya mambo ya kuonyesha tatoo was hue wadogo zako. Tuta furaha tujisikia Wema amekwenda Makka kuhiji na sasa amekuwa mtu wa swala tano.
Ndo maisha yalivo mkuu.. hayapo fair kabisaYaani baada ya kuzunguka nchi nzima na mama Samia kuomba kura. Matokeo yake ni Jokate ndiye mheshimiwa.
Yaani baada ya kuzunguka nchi nzima na mama Samia kuomba kura. Matokeo yake ni Jokate ndiye mheshimiwa.
Na elimu pia inachangia mkuu, Jokate ni celebrate mwenye degree yake na sasa hivi ana vuta Masters yake UDSM kama hajamaliza.Hapana. Chance ya Wema kuingia kwenye mfumo ilikuwa automatic provided Baba yake alikuwa kwenye mfumo.
Hilo la kampeni siyo issue sana kwa sababu, sometimes kuteuliwa inategemea na mtu alivyo kitabia.
Mfano, Jokate hakuwa na scandal kama Wema.
Wema ni mtoto wa balozi ila yupo as if kalelewa uswazi Midizini.
Hata watoto wa Nyerere the same apply here.
Wema kajitenga na mfumo wa msimamo wa familia, na sababu kubwa ninadhani ni malezi kwamba wazazi haswa baba alikaa mbali na Wema na kumwacha hewani sana.
Mtoto katumia uzuri kujiharibu.
Nina mashaka kama Wema aliwahi kuchapwa.
Mtoto asiyechapwa siyo mtoto maana akikua anakuwa mzigo.
Labda tuanzie kwenye kujua kabila lake tunaweza kuwa na majibu...Huyu kashapewaga ushauri wa kutosha sana; lakini hasikii.
Ugonjwa wake ni wanaume, na mbaya nahisi haangalii wanaume wakutoka nae hajui neno kukataa.matokeo yake wanamtafuna na kumdhalilisha.
Yani bongo movie hawa! Na wale wadada wa corner bar ambiance sinza tofauti ni ndogo sana.
hahaha unatafuta ugomvi mkuuLabda tuanzie kwenye kujua kabila lake tunaweza kuwa na majibu...
Labda tuanzie kwenye kujua kabila lake tunaweza kuwa na majibu...
JF Where To Dare To talk Openlyhahaha unatafuta ugomvi mkuu
Mimi simo.
Ila sema bongo movie wote hamna kitu.
wepesi sana kama upepo.
Wema ni kama kenge tu,hahaha unatafuta ugomvi mkuu
Mimi simo.
Ila sema bongo movie wote hamna kitu.
wepesi sana kama upepo.
Inawezekana analipa deni la baba ake.Swala tano kwa Wema? labda unaongelea 6 kwa 6 mara tano kwa siku...dawa ya huyu ni kumtoa kwanza lile pepo alilozaliwa nalo hapo mtakuwa mmemsaidia vizuri tu.
hahaha shemu laoWema ni kama kenge tu,
Kusikia kwakwe mpaka atoke damu.