miss gisenyi
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 699
- 500
hata nyie wakaka mnajisahau mkitupata,,,ulinitongoza while givin me all attention sahz few calls n almost zero txtsNdio maana nikimuona nashindwa kusema kama nina Gf. Ila next time nimejipanga. Simchekei tena.
#littlethingsmatterthemost#You've shown stronger willpower than most men would have, i have to congratulate you on that.
People always forget this, but sometimes it's the little things that matter...
True that.Kosa ulilofanya ni kumpa simu yako wakat hana uhusiano na wewe,halaf hamjawa marafiki mpka mkazoeana kupeana simu,kwa jins nilivyoelewa lakin,,swal je angekua hajakuchunia kipind mnaenda church kuhusu whatsaap unadhan ingeishia jins ilivyoishia?? No no big No!! why? bcz ulianza kujiondoa kwake baada ya yy kuanza kukuchunia kuhusu kuzama kwake ktk whtsaap yako...
Labda unapata nguvu ya kumweka pemben sbu yy alishaanza kukuweka pemben mpka kufikia kutoka na mshkaji mwngine ili kukuumiza roho...
Huyu nilie nae hata friends wanaona mimi ndio najipendekeza. Kwanza yeye anatext tu mchana(rarely) na Mara nyingi usiku(Saa tano-sita) basi.hata nyie wakaka mnajisahau mkitupata,,,ulinitongoza while givin me all attention sahz few calls n almost zero txts
mi nnataka nipunguze attention na mapenz labda atashtuka na kukumbuka nafas yake ila hamna kitu kibaya kama mwanaume kujisahauHuyu nilie nae hata friends wanaona mimi ndio najipendekeza. Kwanza yeye anatext tu mchana(rarely) na Mara nyingi usiku(Saa tano-sita) basi.
Muda mwingine atakuambia nipo discussion. Mara nipo busy nafanya project. At the end of the day sina doubt if she is cheating since sio mtu wa hivyo kabisa.
Attention nampa sana. Muda mwingine mpaka anasema its too much. Soon ataenda chuo nchi nyingine, nami nitaenda kwingine maybe atanimiss[emoji3]
-callmeGhost
Duh! God forbid. Ungekuwa unamjua, she is so different. Sijawahi ona kama huyu. Maybe people change, hope she will change for good.Hongera mkuu ila wengi wa aina yako wanaishia kusalitiwa tu.