Ushauri wangu kwa single mama

Akili zenu wanawake bhana, mnazijua wenyewe.Wengi wenu u single maza mmeuchagua wenyewe.
 
ni ujinga uliopitiliza
 


Ni kweli, kuna wanaofanya bila kujali lakini pia kuna wanafanya hivyo kutokana na stress, na kutaka kujifariji.
Na mwanaume akiona udhaifu tu anautumia.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…