Mr Someone
Member
- Sep 15, 2018
- 39
- 60
Si mwanachama wa chama chochote cha siasa.Wewe uko chama gani.
Chadema ni chama chenye watu wengi, wapya na makini sana. Labda lipo jambo tusilolifahamu linalowafanya bado waendelee kuishi kwa matumaini!its true mkuu,huwezi ukakaa chini ya mwembe ukitegemea kupata Nazi...wangesusia chaguzi mpaka katiba mpya na huru ipatikane...ila mie siwalaumu sana hao Policcm hawako mbali yatazushiwa na kufanyiwa fujo kama watafanya hivyo….
ila upinzani kama akina Mbowe tumewasikia kitambo...sura mpya na zenye nguvu zinatakiwa zi emerge..sijui labda Chama hakijui kurecruit wanachama watakayoifikisha Chadema hatua nyingine
'Alionewa' kivipi na nani? Just curious.Waitara atashinda vizuri sana tena kwa 78%, na sio sababu ya kuwa yuko ccm, bali alionewa na wana ukonga wanajua hili vizuri sana. Ushindi wa waitara hauhutaji msaada wa aina yoyote.
Monduli , Lowassa badi ana power, na inawezekana mgombea wa CDM akashinda, na qa CCM akishinda itakuwa kwa idadi ndogo sana, tukiona idadi ya ushindi wa ccm ni kubwa, chadema waende mahakamani kwani patakuwa na rafu iliyotendeka
Chadema ni chama chenye watu wengi, wapya na makini sana. Labda lipo jambo tusilolifahamu linalowafanya bado waendelee kuishi kwa matumaini!
Inaweza kufanyika? Utashi huo upo kweli!?kama Chama kina watu makini na wapya,then its time wa reshuffle wa zamani wachukue back seat,sura mpya zipewe front seat..hao wazamani wawa coach hao wapya...mbona simple!...uongozi huo huo sasa hivi uko kama cancer inakiua chama taratibu...
Inaweza kufanyika? Utashi huo upo kweli!?
Nadhani lipo tatizo kubwa la siasa za afrika, nalo ni ulevi na ushabiki uliopitiliza wa wananchi (fanatism). Wapenzi wa hivi vyama hawapendi kuyatazama mapungufu ya vyama hivi katika njia chanya, wanakuwa na majibu mepesi yanayowafumba macho (usaliti, umetumwa, unatumiwa)...either wabadilike,au chama kife..choice is their's
Hapa naona unapotoka au kupotosha maana na makusudi ya mleta uzi,amesema upinzani kushinda uchaguzi wowote katika hali ya kisiasa tuliyo nayo kwa sasa haitowezekana maana wenye nguvu wameshaamua kuwa lazima chama chao kishinde tuits true mkuu,huwezi ukakaa chini ya mwembe ukitegemea kupata Nazi...wangesusia chaguzi mpaka katiba mpya na huru ipatikane...ila mie siwalaumu sana hao Policcm hawako mbali yatazushiwa na kufanyiwa fujo kama watafanya hivyo….
ila upinzani kama akina Mbowe tumewasikia kitambo...sura mpya na zenye nguvu zinatakiwa zi emerge..sijui labda Chama hakijui kurecruit wanachama watakayoifikisha Chadema hatua nyingine
Kuna haja ya kufanya change quotaChadema ni chama chenye watu wengi, wapya na makini sana. Labda lipo jambo tusilolifahamu linalowafanya bado waendelee kuishi kwa matumaini!
Sure, kwa mazingira ya kisiasa, kisheria na kiutawala yalivyo, upinzani kushinda ni ndoto ya mchana..Hapa naona unapotoka au kupotosha maana na makusudi ya mleta uzi,amesema upinzani kushinda uchaguzi wowote katika hali ya kisiasa tuliyo nayo kwa sasa haitowezekana maana wenye nguvu wameshaamua kuwa lazima chama chao kishinde tu
Wewe ni mburula tu unaleta ushabiki mbuzi kwenye majadiliano ya wanaumeWaitara atashinda vizuri sana tena kwa 78%, na sio sababu ya kuwa yuko ccm, bali alionewa na wana ukonga wanajua hili vizuri sana. Ushindi wa waitara hauhutaji msaada wa aina yoyote.
Monduli , Lowassa badi ana power, na inawezekana mgombea wa CDM akashinda, na qa CCM akishinda itakuwa kwa idadi ndogo sana, tukiona idadi ya ushindi wa ccm ni kubwa, chadema waende mahakamani kwani patakuwa na rafu iliyotendeka
Mkuu lazima tuseme tu ukweli mimi nipo upinzani lkn ukweli lazima tuseme kwa watawala tulio nao ni vigumuSure, kwa mazingira ya kisiasa, kisheria na kiutawala yalivyo, upinzani kushinda ni ndoto ya mchana..
Hapa naona unapotoka au kupotosha maana na makusudi ya mleta uzi,amesema upinzani kushinda uchaguzi wowote katika hali ya kisiasa tuliyo nayo kwa sasa haitowezekana maana wenye nguvu wameshaamua kuwa lazima chama chao kishinde tu
Hata hao ambao wanaohama upinzani wanaweza kuwa na sbb zisizo bayana(mathalani hilo la kununuliwa), lakini ukitazama kwa jicho kavu zaidi, unaona ni kama wana linda political career zao.Mkuu lazima tuseme tu ukweli mimi nipo upinzani lkn ukweli lazima tuseme kwa watawala tulio nao ni vigumu