Ushauri: Wanaume tuache punyeto

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379


Huu mchezo wavulana wengi huuanza kwa kufundishwa na wenzao hasa hasa wanapoanza kubalehe, Mara nyingi wengi huuanza form one wanapojiunga sekondari. Wanapouanza wanapewa nondo kadha na kadha kutoka kwa magwiji ikiwemo kutumia mafuta ya mgando aina ya vaselline jelly original.

Sio kitu kizuri hata kidogo.......

Maana ukipiga nyeto unatafuta raha ya tendo kwa kutumia kiganja kilichotapakaa mafuta ya mgando kikipanda na kushuka mnazi hadi pale mchezaji anapojiridhisha kwa kufika kilele (kupiga bao).

Hivyo basi akili inakua tayari imeshajitwin kwamba njia nzuri ya kufanya tendo ni kwa kutumia kiganja kilichotaoakaa mafuta ya mgando, Sasa itakapotokea kwa bahati nasibu ukatunukiwa kibumbu chenye joto la asili, utakavyo chovyo tu jebele wazungu nao watatoka dk 0......

Hebu fikiria mbeleni pindi utakavyokuwa umelala na mkeo unashindwa kufaidi uzuri wake eti kisa ulikuwa umekubuhu kujipa raha kwa mkono!!!! Jaribu kuwaza pindi kidume kingine kitakavyo kuwa kinamhudumia mkeo kwa mkong'oto wa maana ambao wewe umeshindwa kumpa.

Waza pindi utakapotumia pesa nyingi kujitibu tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume na bado usione hata chembe ya unafuu... Ukitaka uache hii kitu Jaribu kuwaza zaidi madhara yake na aibu utakayokumbana nao, hapo lazima uache...

Lakini acha udomo zege tafuta mtoto utafune kibumbu kwanza uone raha yake!!!!

Ila usisahau watoto wa kike tumeumbiwa sisi, na wao wako wengi kuliko sisi kwa hiyo unapopiga punyeto unaidhulumu nafsi yako mwenyewe***
 

 
braza hiyo kitu iache kabisa.......hapa shauri tumieni ndom kuepuka mimba zisizotakiwa na maradhi..........'PUNYETO' achana nayo.....wewe unaweza kuacha kimya kimya mkuu
 
Dah... Nashindwa hata niandike nini.
 
Weka na picha yenye kuonesha madhara yake ili raia wazd kukuelewa
 
Apa nataka nikapige kimoja chooni fasta, ila kuna siku ntaacha tu naamini ila sio saiv, nikikaa 4 days pila kupiga puli wala dem napata shida sana tena sana
 
Nigga pliiiz!

Wewe kama unaacha acha mwenyewe tu!

Ya wengine achana nayo.
 
Huku wanaume wanajichua na huku pia wanawake wanajichuo. ,,sie wa kubeti hio tunaita both team to score
 
Hizi stori huwa siziamini sana maana kwa upande wangu nilijiunga CHAPUTA nikiwa darasa la sita na ilifika kipindi nilikuwa napiga mpaka goli tatu kwa siku. Ila nilipofika secondary nikawa sioni noma wenda guest so nikawa nikipata demu naosha vizuri tu.

Na hata nilipokuja kuoa sikuwahi kumuacha njiani mwenzangu hivyo nahisi madhara huwa yanatofautiana kati ya ntu na ntu . Niliacha rasmi uanachama wa chaputa mwaka 2006 .

Mpaka leo sijarudia tena maana nikijaribu huwa nakosa hisia kabisa naweza nikatumia muda mwngi sana mpaka wife anajiuliza mbona huogi huko mwenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…