Nashauri wale walioikamata bombadia wasikubali kulipwa hela nusu,hii kwao ni bahati ya mtende,wakomae mpaka walipwe zote,mkuu ameshasema nchi yetu ni tajiri
Pia nashauri hiyo hukumu waisajili mahakama zote za mataifa makubwa duniani ambako Tanzania ina Mali ili wazikamate kirahisi,kama ni mnada basi utangazwe laivu na BBC au CNN
Pia nashauri wafuatilie kule dreamliner inakotengenezwa ili likikamilika tu,kabla haijaletwa Tanzania pia ikamatwe na ipigwe mnada
Pia wafuatilie kama tuna deposit (akiba)benki ya dunia na IMF wakazikamate,
Najua Tanesco wanadaiwa na standard chartered bank ya Hong Kong .....ni wakati wao sasa nao kujikamatia dreamliner au kukamata meli itakayokuwa imebeba mabehewa kwa ajili ya reli mpya au mataruma ya reli
Lengo ni kuhakikisha tunalipa madeni yote haraka
Umesifia, umechukia?Hiki ndicho ulichokiota leo sio!! Hongera
Yule mama hapana. Yeye mwenyewe ndiyo anapaswa kuwekwa pawn. Awekwe kizuizini hadi 2045.
Hahahahaaa! Roho inakuuma Ng'wana Maria? Wasugunsu mnaharibu nchi. You better pack your "rambos" and go to "Pagak"! Boring!visasi vya kijinga, endeleeni kuisakama nchi yenu wenyewe, jipendekezeni kwa mabepari
Ngw'ana Kabula
Nashauri wale walioikamata bombadia wasikubali kulipwa hela nusu,hii kwao ni bahati ya mtende,wakomae mpaka walipwe zote,mkuu ameshasema nchi yetu ni tajiri
Pia nashauri hiyo hukumu waisajili mahakama zote za mataifa makubwa duniani ambako Tanzania ina Mali ili wazikamate kirahisi,kama ni mnada basi utangazwe laivu na BBC au CNN
Pia nashauri wafuatilie kule dreamliner inakotengenezwa ili likikamilika tu,kabla haijaletwa Tanzania pia ikamatwe na ipigwe mnada
Pia wafuatilie kama tuna deposit (akiba)benki ya dunia na IMF wakazikamate,
Najua Tanesco wanadaiwa na standard chartered bank ya Hong Kong .....ni wakati wao sasa nao kujikamatia dreamliner au kukamata meli itakayokuwa imebeba mabehewa kwa ajili ya reli mpya au mataruma ya reli
Lengo ni kuhakikisha tunalipa madeni yote haraka
Tembea kwa umakini sana mkuu. Ukiangusha sindano tu ujue umeangusha injini ya kiwanda. 2020 utashindwa kujitetea.Napita naenda kuangalia uzalishaji wa kiwanda changu cha cherehani 4 narudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani kabisa moyoni unajua kuwa haiwezekani. Hata kamwandiko kako tu kanakusuta. Umeandika huku umevuta mdomo mbele kama chuchunge!Roho mbaya tu hizo, ila mambo yatakua mazuli hali ya mpito tu, siku zinakuja chadema hutoaminika na utapotea kabisa mungu mbariki jpm
Sent using Jamii Forums mobile app