Ushauri wakuu

Hizi ndio dawa gani mkuu? Na mimi sasa hivi niko maji
Kuna dawa una tumia kama ume sex na mtu usie muamini... ukitumia izo una asilimia kubwa ya kutopata maambukizi... naisi zina itwa ivo ivo PEP kama sija kosea
 
Kuna dawa una tumia kama ume sex na mtu usie muamini... ukitumia izo una asilimia kubwa ya kutopata maambukizi... naisi zina itwa ivo ivo PEP kama sija kosea
Vipi nikizitafuta kesho nitakua nimesave au nimeingia chaka
 
Huu ndio ushauri wengine wote wananipeleka chaka . baada ya muda gani mkuu nkacheki
Kumbe unaujua ushauri unaofaa, halafu unakuja JF kujionyesha ulivyokosa cha maana cha kuanzishia thread. Bangi ya Mwakaleli hii!
 
Wakuu bila kupoteza muda

Ni hivi nimetoka kula papuchi muda huu bila kinga mnashauri nini wajameni niko napresha sana. Hapa niko najipooza na balimi kutoa mawazo ,

Kweli majuto ni mjukuu
Pole wahi hospital wakupe P.E.P
 
Kama umeshindwa kujitambua na ukala uke bila Kinga utawezaje kujitambua siku unaingiliwa?

Acha pombe itakuja kukugeuza mwanamke.
Sasa umewashwa nini kuingilia uzi usiokuhusu . au unatafuta mu.me ucku huu . shwain
 
Kumbe unaujua ushauri unaofaa, halafu unakuja JF kujionyesha ulivyokosa cha maana cha kuanzishia thread. Bangi ya Mwakaleli hii!
Hapana mkuu sio bange kwenye wengi kuna mengi
 
Acha pombe ukiwa kwenye mazingira kama hayo utakuja kubeba Gonorrhea wakati familia inakutegemea.

Au wahaya mmezoea majanga kila sehemu?
Mkuu hizi pombe nimezianza baada ya tukio la kujitoa muhanga kwenye papuchi ili nitoe stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…