Persie Senior Member Joined May 2, 2012 Posts 188 Reaction score 15 May 3, 2012 #1 Mimi nimaliza form six mwaka huu na nimepata division 3 ya points 17 nina E ya geography,E ya Economics na F ya Math's nauliza kwamba naweza kupata chuo kwa kiwango hicho cha ufaulu
Mimi nimaliza form six mwaka huu na nimepata division 3 ya points 17 nina E ya geography,E ya Economics na F ya Math's nauliza kwamba naweza kupata chuo kwa kiwango hicho cha ufaulu