elishamani
Member
- Apr 16, 2015
- 21
- 1
Kijana mmoja alikuwa na mpenzi wake ambaye walipendana sana Kijana alimpenda sana bint na bint alimpenda sana kijana siku zikazidi kwenda Kijana alimuhudumia mpenzi wake kwa kila hitaji alimtunza kama mke naye bint alijitoa kwa moyo wote kwa mpenzi wake katika mapenzi kukwazana hakukosekani hata wewe unakwazana na mpenzi wako Ila katika mazungumzo yao wakikwazana kijana wa kiume amekuwa akimtishia mpenzi wake kuwa atajiua amefanya hivyo siku ya kwanza bint akapotezea akafanya hivyo tena siku ya pili bint akapotezea siku ya tatu akafanya hivyo tena wakiwa wanaongea kwa cm na jamaa akawa yuko series kabisa kitu ambacho kilimuumiza sana bint akajeruhika sana sasa bint ameamua kuchukua uamuzi wa kuachana na jamaa jamaa nae anampenda sana bint na hayupo tayari kuachana nae Ila bint hamtaki tena sasa jamaa anaomba ushauri afanye nini ili kumrudisha mpenzi wake? Amembembereza sana ila bint hataki