Kumuacha unaweza sana, ni kujipa moyo na kuwa jasiri unaweza sana tena im telling you mwezi mmoja tu mbona unamsahau?Achana nae, mpende akupendae asokupenda achana nae, tena dini yake yenyewe ni nanihii, loooohhhh!!Kimbia tena huku umevua viatu maana ukijiloga ubebe:mimba:imekula kwakoooo!
kuachana kunaumiza ila ni maisha, acha aende sio kila kitu unachokipenda lazima uwe nachoyaan dia ninateseka sn..kila nikisema nijaribu kumuacha hata kula nashindwa..
yaan dia ninateseka sn..kila nikisema nijaribu kumuacha hata kula nashindwa..
yaan dia ninateseka sn..kila nikisema nijaribu kumuacha hata kula nashindwa..
Kwanini uendelee kuumia mimisa ?mpaka kuandika humu,nishaumia sn kimyakimya
kuachana kunaumiza ila ni maisha, acha aende sio kila kitu unachokipenda lazima uwe nacho
mfano mimi nilimpenda sana mama yangu ila amefariki so nijiue au nisile! kubali yaishe uishi kwa amani
kwanza utapata mwingine mzuri wewe ? acha tu dunia ina wanaume wengi wewe? kuna wazuri balaa utajuta kwanini ulikuwa unapoteza muda hapo!
Hapa JF wengi ni wapotoshaji tu katika mahusiano/ndoa. Wengi wanaugulia chinichini ila kwa kujua umuhimu wa ndoa ndo maana wapo ndani. Badilika wewe na yeye atabadilika na ukimuacha basi utamaliza wanaume.
Kwanini uendelee kuumia mimisa ?
Kwani km kifanyio hata wengine wanavyo na wanajua kucare na kuvitumia kuliko huyo...!
Unataka Mungu akupe maono gani?
Achana nae tulia zako upate mwenye mapenzi ya dhati na upendo wa kweli.
Huyo haashindwi kukuletea small hausi ndani tena ukizingatia dini yake inaruhusu ndio utajiju!
Kula kona faster mambo mengine yatajipa baadae!
Kwanini uendelee kuumia mimisa ?
Kwani km kifanyio hata wengine wanavyo na wanajua kucare na kuvitumia kuliko huyo...!
Unataka Mungu akupe maono gani?
Achana nae tulia zako upate mwenye mapenzi ya dhati na upendo wa kweli.
Huyo haashindwi kukuletea small hausi ndani tena ukizingatia dini yake inaruhusu ndio utajiju!
Kula kona faster mambo mengine yatajipa baadae!
nimebadilika ving sn...vingne nafanya tu ili kumridhisha nikijipa moyo kua hakuna mapenzi yalonyooka kama rula..lakini matuc mpendwa..ashanipiga twice,akaapa kuacha..bt d way anavokua akiwa na hasira zake i can tel inaweza tokea tena..ss najiuliza nitabadilika mimi peke yangu wakat yy yuko palepale kisa tu ni mwanaume?...nikimwambia anayoniumiza ananiambia nimeanza jeuri na dharau..
Pole sana.Huna thamani kwake..Hizo ni ishara tu.Na waislamu wanavyooa wake wengi na talaka nje nje mbona utakoma ukiingia kwenye hiyo ndoa..
Huyo siyo wako.Ushapoteza miaka mitano so chukua hatua haraka.
Pata ushauri wa kudeal na mume kutoka kwa mama mchungaji au akina mama wenye heshima zao. Yaweza saidi, lakini kuachana kama members wanavyosema, utamaliza wanaume wengi kwani wanaume na kwambia tunafanana sana. Wanawake wengi sana wanatukanwa katika ndoa kwa sababu hizo kama zako.
Nimeisoma kwa masikitiko makubwa sana sana, kama ni kweli jua hapa hakuna mapenzi nashauri sana aachane nae kungali mapema sana, nasikitika kusema kuwa Hawa ndugu zetu kuoa na kuacha ni kitu cha kawaida sana, wakati sisi tukioana tunasema kuwa tumeunganishwa na kuwa mwili mmoja wenzetu wao hawana hio kitu kabisaaaa, mwanamke ni kitu baki na hana say yoyote
ni kweli wewe ni mburula wala sio tusi,unavojilazimisha kwake ptuuuuuuuuuuu
una moyo aisee
mtu anikute na meno yangu 32 aniite choko au tikiti mimi?
achana nae wewe kiazi ,dunia haipo hivo , maisha ni furaha mdada
utakufa siku si zako.kwanini upoteze furaha ya uhai wako kwa ajili ya mtu mmoja tena umemjua ukubwani? yeye ni nani? kimbia huko tikiti mkubwa wewe