Mdogo wangu nadhani hujajua vizuri jinsi mapenzi yalivyo ya ajabu,kwa kufanya hivyo unaweza kujenga uadui mkubwa sana na baba yako,maana huyu muomba lifti anaweza kumweleza baba,na kwa kuwa wewe hujamkabili baba ukashangaa unaundiwa zengwe ambalo hata halipo.