Ushauri wako ni wa muhimu.!

Mkuu umeua lolz..kwa madaktari wa magonjwa ya akili tena.. Hiyo balaaa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

divorce and brekup are most causes of depression.
 

Ndipo hapo panaponifanya nikupende Kaunga.....
 
Last edited by a moderator:
Ni jambo jema kwamba umeweza kung'amua kwamba jambo linalokukabili si jema.
Kitendo cha akili yako kuhitaji kujinasua kutoka hapo hakika ndio chachu ya kuweza kukufanya utoke kwenye hilo dimbwi la tatizo la kutojiamini.
Binafsi naamini huna tatizo lolote zaidi tu ya ufahamu wako kuuelekeza ubongo wako kufanya hayo uyafanyayo.
Kama ungekuwa una tatizo lolote na kupenda basi hata hayo mahusiano uliyoyapitia usingewahi kuwa nayo kabla.
Wahenga huwa wanasema, ili mtu aende mbinguni hata kama ni mtakatifu inabidi kwanza afe.
Vivyo hivyo hata kwako, tambua kuwa kuna mahusiano mazuri yanakusubiri...unachopitia sasa ndio kifo chenyewe.
Hao uliokuwa nao hawakuwa wa kwako!!!
 
Watu8 nashukuru kwa ushauri wako. I have been fighting with the situation for months now. Nataka kuwa kwenye mood ya kawaida ndo maana naomba ushauri kwa wenzangu jamvini. Kinachonitisha zaidi ni ile kuwachukia hata dada zangu na kuwajibu ovyo.
 
Mrembo mie niko Poa sana Nyalotsi,
hofu kwako.
Bora ujifanyie zako mazoezi mwaya.....kupata mwenza ni matokeo.

matokeo mengine ni magumu loh! Unaweza jiamini kwamba umefaulu aafu necta wanafuta kwamba uliibia majibu. Usishangae kuona wanaookota makopo barabarani, thanks God our genetic make up are different. Otherwise mwanzoni hali ilikuwa ngumu.
 
Last edited by a moderator:
matokeo mengine ni magumu loh! Unaweza jiamini kwamba umefaulu aafu necta wanafuta kwamba uliibia majibu. Usishangae kuona wanaookota makopo barabarani, thanks God our genetic make up are different. Otherwise mwanzoni hali ilikuwa ngumu.

Umeona ee!
Tulia na utafakari.
Wapi ulipokosea ili hata ukimpata mwenza ajae, ufukie ma-gap.
 
Pole sana! Muda utakuponya! Nadhani umejifunza kitu kwenye yaliyo kukuta!
 
Muda mrefu ni upi huo? kumbuka wanawake wanachuja, ni tofauti na wanaume, so unapomweka kwa muda mrefu say 2years au zaidi unategemea nini?? so tatizo ni wewe wala usiwalaumu wanawake! Jirekebishe tabia then subiri ukiwa tayari kuoa tafuta binti fasta uoe. mambo ya kuwekana uchumba muongo mzima yamepitwa na wakati!

Wadada wengi kiasi kwamba ninapomsikia mwanamme anatoa kauli kama hizi huwa namwona yeye ndo mwenye matatizo. Punguza frustration kijana!

NB: Alaf Girl Frendz wako hata Bajaji hujazi..??? Hongeza bidiii aseee!

 
Njia nzuri ya kuishinda roho mbaya ni kwa kufikiria kama wewe ungefanyiwa ubaya wa namna hiyo ungependa?
Ukiona wajisikia vibaya basi taratibu utajifunza kubadilisha mwenendo wa namna hiyo.

Watu8 nashukuru kwa ushauri wako. I have been fighting with the situation for months now. Nataka kuwa kwenye mood ya kawaida ndo maana naomba ushauri kwa wenzangu jamvini. Kinachonitisha zaidi ni ile kuwachukia hata dada zangu na kuwajibu ovyo.
 
trust me,kuingia jamii forum pia ni dawa.humu peke yake kuna vituko vyake.kuhusu suala la mapenzi wapo wanawake wametendwa kuliko wewe,na wakasema maneno kuwa hawatopenda tena.matokeo yake,wamependa na wako happy katika relationship zao.kwa upande wako,amini ya kuwa sio wanawake wote wako hivyo.ondoa kinyongo katika moyo wako,utakuja kumpata tu na utakuja kuwa na furaha tu
 
"A broken heart won't heal if you keep on giving it to the same person that broke it"
- Mjanga
 
Last edited by a moderator:
Umeona ee!
Tulia na utafakari.
Wapi ulipokosea ili hata ukimpata mwenza ajae, ufukie ma-gap.

nashukuru kwa ushauri. Kuhusu nilipokosea kwa kweli sioni kwani kanikimbia kimya kimya. Wa kwanza kweli nilikuwa chuo and nilikuwa kama na miaka mitatu mbele. Huyu nilishaanza kazi na nilishamtambulisha hata kwa ndugu. May be kuna weakness zingine ambazo ameshindwa kuzisema.
 
Mjanga, namaanisha muda kati ya msichana wa kwanza na huyu wa pili. Yeye nimekuwa naye for two year aafu nikamtambulisha kwa ndugu zangu. Nikiwa kwenye mipango ya wazazi wafahamu ndo hayo yalinitokea. Hivi miaka miwili kwenye uchumba ni muda mrefu? Sikujua aisee.
 

thanks mkuu, ngoja niendelee kupambana na hali hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…