Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 907
Habari zenu waheshimiwa.
Nina rafiki yangu alikua na mpenzi wake mwanaume walipendana japo siwezi kumuongelea sana huyo jamaa kama alimpenda huyu rafiki wa mimi kwa kiasi gani. Ila ke alimpenda sana huyu jamaa na hakuamini kama yupo zaidi ya huyo mwanaume.
Haya sasa mapenzi yakaendelea, mwanaume akaanza kubadilika gafla sababu nini hasomeki, ikafika mahala mwanamke anampigia simu jamaa hapokei akipokea anaongea kama hataki, au anasema short and clear nipo bize, binti asipopiga simu basi ujue hiyo imetoka.
Mwanamke akajitahidi kuvumilia, japo inamuuma na alikonda sana ndugu zangu,vituko vya muda mrefu vikaendelea, ikafika mahala akaanza kuchoka, zinapita siku nikamwambia rafiki achana nae japo inauma.
Basi rafiki angu kashaurika, na akaanza kusahau taratibu imepitaa takribani 7 month now yule jamaa asiludi tena na kujifanya anatuma massege wiki iliyopita, eti anapiga simu jamani, mpenzi mbona umenitupa hivyo,eti vipi shemeji mzima mbona huji kunitumbelea siku hizi,na maneno mengine kibao.
Shosti kamwambia nitakuja kukutembele asante na usiku mwema kakataa, kesho ikapita binti kimya cku nzima , jamaa kaenda tena hewani,mi nikamwambia shosti yangu achana nae huyo shauri yako.
Nashukuru kanielewa,ila sasa mwanaume bado anasumbua, rafiki yangu anahitaji ushauri ili asijekuwa nae tena. nimemwabia huyo alikutana na wasichana wajanja kaona wanamfirisi ndio kaamua kurudi kwako,ataakuumiza tena achana nao.
Wakuu mnaushauri gani zaidi ili nipate kumshauri vema zaidi.
Asante sana.