Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,695
- 149,921
Wabunge wa UKAWA msihangaike kutoa mawazo yenu ya aina yoyote mkiwa nje ya Bunge kwani wanaweza kuyachukua na kuyafanya yao. Waacheni kama ni kuharibu waharibu ili watambue umuhimu wenu na uzuri wakiharibu lawama ni kwao.
Ukweli ni kwamba wabunge wa upinzai wanapochangia na kutoa mawazo yao na mambo yakaenda vizuri,kisiasa CCM ndio ina-benefit zaidi ila kwa jinsi wanavyowa-treat,kaeni kimya au kosoeni tu bila kutoa suluhisho. Kwanini mhangaike wakati mnakuwa undermined kiasi hiki?
Wananchi wenu tunaelewa dhamira njema mliyonayo juu yetu ila kwa mazingira haya hatuna budi kuwaunga mkono kwa hatua/maamuzi mnayochukua.