Ushauri wa Zitto kwa vyama makini vya ushindani

Kama kuna mwanasiasa atakuwa looser kwy kipindi cha Uongozi wa JPM atakuwa Mh. Zitto Kabwe!

Anayumba sana, ana person feelings against JPM... Hafanyi siasa Tena, anashindana na JPM aliyechaguliwa na 58% ya waTanzania, a result oriented president.... Sorry but he will loose ... Sana Tena sana!!!

Anatakiwa kujiuliza Hoja ngapi za kwake za hapa karibuni wananchi wamezipotezea? Hicho ni kipimo kizuri sana kwake!

Bunge Live, who cared?
 
Back
Top Bottom