Ushauri wako sasa nini?Mkuu kusema kueneza propaganda chafu dhidi ya sisiemu nikukosa maarifa na nizilipendwa. Watanzania siyo wajinga.
Hilo la Chadema kukosa hata Channel ya yutyubu au hata karedio,nadhani nikukosa strategist wanaochungulia yakesho
Kwasasa nikuhakikisha wanafika eneo kubwa la nchi.....sisiemu inaadivanteji nyingi zaidiUshauri wako sasa nini ?
Sheria zipi... Zinazokuja kwa hati ya dharula??? Tena kwa lengo mahususi kwaajili ya watu fulani pekee???Hakuna tatizo ukifuata sheria tulizojiwekea wenyewe
Kitengo cha habari wamesinzia kiaina,saizi ilitakiwa wawe na majarida piaChaajabu hata kwenye social networks hawapo!! Watavuna pumba
Mbna mikutano ya chadema inarushwa Sana , Millard ayo anaupdate kila sekunde,clouds pia naona Instagram wanawekwa Sana ,BBC nao hawako nyuma , TBC nao wangefanya hivyo tatizo waliwafukuza ....ila nachooona mwamko wa kupiga kura ni mdogo Sana hasa maeneo ya mijini na hii itamfanya JPM ashinde kwa kishindo Sana aheri hata 2015 CCM ilitiwa jamba jamba ya uhakika
kwani hizi za kutuibia madini zilitungiwa wapi???Kwani zinatungwa wapi ?
Ngoja tuendelee kusubilia mwisho wakeKweli wamelala!! Wakiamka tayari Rais amechaguliwa wanaanza kulalama
Ngoja tuendelee kula mtori kwanzaMpaka sasa mwisho umekwisha onekana
Oooh tulikuwa tukiibiwa madini na mabeberu magu kadhibiti....saivi wajifanya huelewi kabisa ee???Taja sheria zinazowaibia madini, acha kulalama!! Unauelewa finyu
Jini anamshauri shetani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari wana JF, baada ya CHADEMA kupitia kipindi kigumu cha kampeni pasipo media na hivyo habari zao kutowafikia watu wengi na kwa wakati , nimekuja na ushauri ambao wakiutumia lazima kwa sehemu kubwa wafanikiwe. Wafanye yafuatayo;...