Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,070
- 137,933
View attachment 3646631
Inabidi kuta za nyumba zipendeze mpaka ukiingia useme waoooh amejitahidi
Nahitaji kufanya moulding ya ukuta. Mnitoe ushaamba ni materials yapi ni sahihi?
Kuna mafundi wanatumia gypsum powder kutengeza, nasikia zinapasuka na zinaharibiwa na maji
Kuna wengine wanatumia cement, hizi ni imara ila sioni kama zipo unyama
Kuna material yaitwa PU yanafungwa kwa gundi.
Nitumie yapi kwa uimara na mwonekano mzuri. Uushauri wako
Asubuhi mkiamka mtaukuta, nishaurini wakuuTatizo umeleta uzi wako usiku sana, watu tumeshasinzia
Hii ni imara na ni nzuri pia.Kuna wengine wanatumia cement, hizi ni imara ila sioni kama zipo unyama
Asante mkuu kwa ushauri. Hivi material ya PU yanayofungwa kwa gundi yana shida gani?Hii ni imara na ni nzuri pia.
Fund atafute mchanga mlaini sana. Usio na chenga kubwa. Ili ukipiga msasa baada ya kufanya skimming. Sehem iwe smooth.
Sebuleni usifanye Moulding.
Weka kwenye Corridor ndio unyama zaidi.
Pamoja na Nguzo za Kibarazani na madirishani.
PU siijui.Asante mkuu kwa ushauri. Hivi material ya PU yanayofungwa kwa gundi yana shida gani?
Why sebuleni nisifanye
Umeshinda.PU siijui.
Sebuleni kuna Mapazia. Makochi ,TV na Meza yake.
+ Ukiweka Molding sebule itakuwa na makorokocho mengi.
Alaf Molding inapendeza ukiweka rangi 2 . Yaan mold rang yake na ukuta uliobak Rang yake.