inawezekana wanawake wanaopigania haki za wanawake
hawajaona jinsi lugha inavyowarudisha nyuma,
misamiati ya kuolewa na kuachwa inawaathiri zaidi kuliko tunavyofikiri...
Kubadili lugha ni ngumu mno japo kuwa watu wanajaribu.Siku hizi kuna matumizi makubwa zaidi ya 'kuoana' au 'kutalikiana' lakini matumizi yake yanabaki ni panapozungumzwa kiujumla tu. Linapokuja suala la mmoja mmoja basi mwanamke hawezi kusema 'nimemuoa' kwa vile inaleta picha hasi kwa mwanamme
Utasikia "Nae yule kaoa au kaolewa?" ikimaanisha kuwa jamii imegawa majukumu ya muoaji na muiolewaji, na kabla hatujabadili hilo sidhani kama tutaweza kubadili maneno
mimi kinachonishangaza ni woga wa hata kujadili....
yaani hapo nabaki mdomo wazi....kujadili tu woga
je kutenda?????
Hahah Boss hujui kuwa ' The guilty are always afraid'?
Sasa mtu anaogopa asije kujadili akajikuta kuwa yeye ni miongoni mwa hao wanaoendelea kuchezea kipondo na hajatoa/dai talaka kwa hofu zisizokuwepo tu
sasa hivi kuwa na internet na kuendesha magari
na kusema upo 'karne ya ishirini na moja' kuna maana gani?????
kama hata kujadli jambo while anonymous..huwezi????
tena linakuhusu..
na wewe hata kujadili unaogopa?
kweli kazi mnayo......
I support divorce 101%.....kwanza kwa ajili ya kuwalinda/heshima kwa wanangu...pili kwa ajili yangu binafc, wazee walitengana but 2lishukuru kwa huo mtengano kuliko 2liyokuwa tunayaona yakiendelea hapo nyumbani, mzee we2 alikuwa ni kiboko, kwa upande wa vimada/kipigo/ma2nzo kwe2 ni kasheshe, mama aliamua ku2somba na kuanza maisha mapya, mama wa watu alitulea kwa bidii/jitihada zote mpaka tulipofikia na mzee ndio alitusahau kabisa kabisa, majuto uzeeni mwenzie akila kilaini yeye akihangaika sema 2 ndio mzee wako utafanyaje......2liishi maisha mazuri/amani na mama kuliko tulivyokuwa pa1 na mzee.....siishabikii but ina umuhimu wake sana 2.
duh, umenichoma ku moyoambacho wanawake wengi hawajui ni kuwa
wanaume hatuwaheshimu wanawake wanaovumilia upuuzi wetu...
tunawaheshimu wale wenye guts za kusema 'tuachane'.....
unaona sasa The Boss,mi ndo mana uzi huu nimeuruka futi mia!duh, umenichoma ku moyo
mbona nahisi kama uvumilivu wangu ulizaa matundandio fact hiyo....
thats why ukivumilia yanazidi.....
mwisho unaletewa hadi ndani 'mwenzio'
ili aone utafanya nini????
yaani we acha tu, ingekuwa tunaomba talaka kila kosa, ndoa nyingi kwa sasa zingekuwa chali, ukizingatia nyie wenyewe mlishasemaga hapa kuwa mwanaume ni mwanaume na mke ni mke, kwa hiyo mwanamme ana uwezo wa kutoka nje ya ndoa na kuendelea na mkewe, sasa kosa kama hilo na ambalo ndio tunalichukulia ni kubwa sana inakuwaje hapo? wakati mwingine kumbe huwa mnatu miss lead tu eeeeeeeunaona sasa The Boss,mi ndo mana uzi huu nimeuruka futi mia!
mbona nahisi kama uvumilivu wangu ulizaa matunda
au hiyo pia haijalishi
yaani we acha tu, ingekuwa tunaomba talaka kila kosa, ndoa nyingi kwa sasa zingekuwa chali, ukizingatia nyie wenyewe mlishasemaga hapa kuwa mwanaume ni mwanaume na mke ni mke, kwa hiyo mwanamme ana uwezo wa kutoka nje ya ndoa na kuendelea na mkewe, sasa kosa kama hilo na ambalo ndio tunalichukulia ni kubwa sana inakuwaje hapo? wakati mwingine kumbe huwa mnatu miss lead tu eeeeeee
ooooooh hapo nimekuelewa, kupigwa mateke na kubakwa au siokama ni ile kesi yako yenye 'mazingara ndani yake'....
hiyo ni kesi nyingine......
mimi nazungumzia wale wanaosimangwa,kutukanwa mbele ya watoto,
kupigwa mbele ya watoto na still 'wanavumilia'.....