Dah!
Hivi hadi unamaliza shule hujawahi kufikiria unataka uje uwe nani?
Nitashangaa sana kama hujafikiria maana jana nilikutana na vitoto viwili vya kike vipo form one vikaniambia vinataka kuwa maengineer wa ndege.
Mkuu nakushauri ukatafute digree ya biashara kama bcom,Accountancy,au0Banking and Finance. Ivi vitu bwn vina short payback period. Achana na siasa wala jamii,education n.k najua ushauri wangu hautopendwa na wengine ila ndo ukweli. Mkuu kumbuka preference yako ndo kitu cha kwanza,maoni yetu yafuate kukuimarisha. Mi ni mhasibu na nafurahia matunda ya kusoma uhasibu. Ila kama we mtu wa kukariri na una allergy na hesabu,plz achana na uhasibu maana utang'oka meno. Sikutishi ila ndo ukweli,japo kwa ujumla hamna digree rahisi.
dah!mkuu,inaweza ikawa nlikua na ndoto ka zao hao watoto bt kadri muda unavokwenda mambo nayo yanabadilika so labda kunaweza kukawa kuna k2 kzur zaid ya kile nlchokua nakifkria mim hvo ni vzr ukashaur kulko kuponda.
nimekusoma mdogo wangu. Kasome accounts.
Job seekers ni wengi na demand ya accountants pia ni kubwa.
Kila ofisi inahitaji mhasibu na ofisi nyingi zinaexpand.
Pia unaweza kuulizia zaidi kozi ya procurement nayo ni nzuri kwa sasa.
Kuhusu chuo unaweza enda AIA.
dah!mkuu,inaweza ikawa nlikua na ndoto ka zao hao watoto bt kadri muda unavokwenda mambo nayo yanabadilika so labda kunaweza kukawa kuna k2 kzur zaid ya kile nlchokua nakifkria mim hvo ni vzr ukashaur kulko kuponda.
ndugu nchii hii ni nchi changa hivyo uchumi bado unakua hivyo kazi za uhasibu na biashara zina uwanja mpana. unaweza kukosa kazi kwa miezi lakini si maisha yako yoteasante sana mkuu kwa ushaur wako mzur bt naomba kukuulza jambo flan,mbona kuna rumourz huku mitaan kwamba cku hz program za biashara soko lake lmekwsha,kwamba job seekers wamekua wengi kupita maelezo.
Asome ACTRUAL SCIENCE-UDSM au RECORDS MANAGEMENT-MZUMBE
Pengine ungeshare nasi kile ulichokua unafikiri hapo awali,na sababu ya/za kukufanya uone/uhisi kile ulichokua unafikiria mwanzo hakifai ndo maana unataka ushauri hapa.