Khlala
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 170
- 123
Je? umewahi kukukutana na vikwazo mbalimbali kama vile kutakiwa kujaza jina lako na email address ili uweze kupata huduma mtandaoni?:A S confused:
kamwe usidhubutu kuweka taarifa zako kama huamini website iliyokutaka kufanya hivyo kwani unaweza kujikututa umeibiwa taarifa zako muhmu na pia kutumiwa matangazo ya kibiashara kwenye inbox yako.
unapokutana na hali hio tumia emails zinazodumu kwa muda mfupi ambazo unaweza kuzitumia bila hata ya kujisajili.
mfano mzuri ni YOPmail, Mailinator na nyinginezo nyingi.
UZURI WA EMAIL HIZI NI KWAMBA
.1 haiitaji registration
.2 haiitaji pasword
.3 masage inadumu kwa masaa machache then inafutika
.4 unaitengeneza muda wowote unaoihitaji ukimaliza kazi nayo unaachana nayo.
.5 Inalinda usalama wa matumizi ya Email yako ya kawaida kwa watu wasiofaa