Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 106
- 190
Fanya mazoezi makali asubui kwa siku ambayo uendi job.....utalala kama umekufa na kuinjoy usingizi!Tafadhali husika na mada apo juu mm ni muungwana ambae natamani kupumzika mchana siku nikiwa sina pirika ila naishia tu kukaa kitandani bila kupata usingizi hii hali inanisumbua sana ila usiku nalala vizuri tu hii imekaaje wakuu
Fanya mazoezi makali asubui kwa siku ambayo uendi job.....utalala kama umekufa na kuinjoy usingizi!
Nikifanya mazoezi asubui Huwa nalala usingizi mzito kuanzia saa nne asbh Hadi saa nane mchn. na nikifanya mazoezi jioni pia usiku nalala sana, changamoto ya usiku ukichoka sana utashindwa kugonga
Doh pole sanaBora kukosa usingizi mchana ila sio usiku, mimi nasumbuliwa na kukosa usingizi usiku nikillala saa tano nikkishtuka saa sita ni mpaka kesho saa tano tena ndio nitalala, hii hali inanitesa sana, nikilala kosa ni kushtuka
Tengeneza mazingira unayolala kuwe na ubaridi kidogo, oga maji ya baridi kidogo kama unakaa mikoa yenye joto kama yenye baridi ni vizuri uvae soksi, alafu punguza screentime angalau nusu saa kabla ya kulala, punguza taa zenye mwanga mkali,Bora kukosa usingizi mchana ila sio usiku, mimi nasumbuliwa na kukosa usingizi usiku nikillala saa tano nikkishtuka saa sita ni mpaka kesho saa tano tena ndio nitalala, hii hali inanitesa sana, nikilala kosa ni kushtuka
Yani hata kwa dawa za usingizi bado napata tabu kulala, sijaelewa bado natatua vipi hii haliDoh pole sana
Kula mabilinganyaBora kukosa usingizi mchana ila sio usiku, mimi nasumbuliwa na kukosa usingizi usiku nikillala saa tano nikkishtuka saa sita ni mpaka kesho saa tano tena ndio nitalala, hii hali inanitesa sana, nikilala kosa ni kushtuka
Watu hamchoki kabisaBora kukosa usingizi mchana ila sio usiku, mimi nasumbuliwa na kukosa usingizi usiku nikillala saa tano nikkishtuka saa sita ni mpaka kesho saa tano tena ndio nitalala, hii hali inanitesa sana, nikilala kosa ni kushtuka
Hahaaa kwamba apunguze maongezi kichwaniTengeneza mazingira unayolala kuwe na ubaridi kidogo, oga maji ya baridi kidogo kama unakaa mikoa yenye joto kama yenye baridi ni vizuri uvae soksi, alafu punguza screentime angalau nusu saa kabla ya kulala, punguza taa zenye mwanga mkali,
Au punguza maongezi kichwani mwako au jitahidi usiwe unawaza mambo kabla ya kulala
Mnapendea nini haya ma spounge 😩Kula mabilinganya
Mi nnayapenda sana aisee, pia ukila yanaleta usingizi mzuri sanaMnapendea nini haya ma spounge 😩
😅 kweli inakuwa ni vigumu kupata usingizi kama una maongezi au ile hali ya kuwa na mawazo yale yale ukitaka kulala mpaka kichwa kinakuwa kinaleta hayo mawazo automatic kila ukienda kulalaHahaaa kwamba apunguze maongezi kichwani
Bora ninywe uji kama ndio yatakuwa pekee jikoni 😁Mi nnayapenda sana aisee, pia ukila yanaleta usingizi mzuri sana
Tafadhali husika na mada apo juu mm ni muungwana ambae natamani kupumzika mchana siku nikiwa sina pirika ila naishia tu kukaa kitandani bila kupata usingizi hii hali inanisumbua sana ila usiku nalala vizuri tu hii imekaaje wakuu
Uji utaamka kukojoa kama kichaa🤦🏽♀️ Bora u-bate😆Bora ninywe uji kama ndio yatakuwa pekee jikoni 😁
Watu hawachoki
Oga, peruzi dk 5. Weka simu kando fumba macho lala.l, mbona ni kugusa tu usingizi huo
Ni moja ya dalili za msongo wa mawazo, nini kinachokusibu?Bora kukosa usingizi mchana ila sio usiku, mimi nasumbuliwa na kukosa usingizi usiku nikillala saa tano nikkishtuka saa sita ni mpaka kesho saa tano tena ndio nitalala, hii hali inanitesa sana, nikilala kosa ni kushtuka