Ushauri wa Kukinusuru Chama (Chadema) Uchaguzi Mkuu 2010

API Gravity

JF-Expert Member
Mar 15, 2016
658
765
Ili kukiokoa chama kumfia mikononi mwake, namshauri Kamanda wa anga Mbowe aanze mazungumzo mapema na Dk. John Pombe Magufuli ili agombee uraisi kupitia Chadema au UKAWA(kama itakuwa hai) mwaka 2020. Lowasa si mtaji tena kwa Chadema, Lowasa wa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 si Lowasa wa leo na hatakuwa Lowasa wa 2020.

Kamanda Mbowe, badili gia mapema angani kabla hujachelewa. Kwa mwendo huu wa utendaji wa serikali ya awamu ya tano sioni pakutokea, Chadema/UKAWA walishakula mtaji wao wa kisiasa na hawana pakushika.
 
Mbowe afukuzwe kwenye chama kwa kumuuzia chama lowasa bilioni 10...nasikia hajawapa mgao wenzake pesa yote amekula mwenyewe
 
Mim nimeshindwa kuelewa heading inasema 2010! Na habar inaongelea 2020!,Ufafanuzi tafadhali
 
Back
Top Bottom