and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,412 Reaction score 40,103 Aug 28, 2020 #21 franktemu123 said: Sienta ni daladala huko Kenya kwa hiyo usivimbe Sana ukijiona mjanja Click to expand... Gari ya kiboya Sana Sienta Bora Vespa.
franktemu123 said: Sienta ni daladala huko Kenya kwa hiyo usivimbe Sana ukijiona mjanja Click to expand... Gari ya kiboya Sana Sienta Bora Vespa.
Focus120 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 1,094 Reaction score 804 Sep 1, 2020 #22 Extra miles said: Nami nikiwa mdau mkubwa wa hii aina ya gari nina uhuru wa kutoa dukuduku langu juu ya comment yako Click to expand... Haya toa hilo dukuduku tulisikie sasa.
Extra miles said: Nami nikiwa mdau mkubwa wa hii aina ya gari nina uhuru wa kutoa dukuduku langu juu ya comment yako Click to expand... Haya toa hilo dukuduku tulisikie sasa.
Focus120 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 1,094 Reaction score 804 Sep 1, 2020 #23 JAKUGOTE said: Tena yale macho yake ndo yananiudhi kweli....sijui jamaa walifikiria nn aisee Click to expand... Kwakweli, halina mvuto.
JAKUGOTE said: Tena yale macho yake ndo yananiudhi kweli....sijui jamaa walifikiria nn aisee Click to expand... Kwakweli, halina mvuto.
Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,754 Reaction score 5,184 Sep 2, 2020 #24 Focus120 said: Haya toa hilo dukuduku tulisikie sasa. Click to expand... Hili gari muundo wa sienta nalikubali sana kutokana na kuwa ni mpv (multipurpose vehicle), lina nafasi ya kutosha ndani na pia muonekano wake unavutia hususan hizi model za 2014.
Focus120 said: Haya toa hilo dukuduku tulisikie sasa. Click to expand... Hili gari muundo wa sienta nalikubali sana kutokana na kuwa ni mpv (multipurpose vehicle), lina nafasi ya kutosha ndani na pia muonekano wake unavutia hususan hizi model za 2014.