Ushauri wa kozi ya kusoma chuo kikuu

Joined
Apr 12, 2018
Posts
72
Reaction score
38
wakuu Nina rafiki angu alimaliza form six mwaka 2014 HGK aliparmta division two ya 8 by then sasa nilikuwa nauliza naweza mshauri akasome kozi IPI chuo kikuu except education
Thanks
 
Unaweza kusoma forex.

Watanzania wengi hawaifahamu tofauti na wenzetu walioko Nigeria na Southafrica. Wabongo wanaoijua hufaidika kwa siri bila kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki. Tusiwe wachoyo wa kuonyeshana fursa.

Muda unaopoteza whatsapp, facebook na instagram ungeutumia kujiingizia kipato, ni biashara hali inayofanywa na mabenki yote Duniani na sasa individuals kama wewe wanaweza kushiriki kupitia Broker. Mwisho wa mwaka utapeleka faida gaio la faida yako TRA.

Kwenye simu yako nenda google store download app inaitwa meta-trader 4 (sio 5). Pia unahitaji kua na laptop ingawa si lazima kwa hatua ya mwanzo. Ili kusaidia wasioifahamu tutatoa mafunzo ya mwanzo introduction to forex bure.
(1) Kuelimisha kuhusu forex.
(2) Kuwawezesha kutumia forex
(3) Kufaidika na forex

Kwa wale wazoefu wa forex; tunatoa msaada wa strategy ambayo ni price action and quarter theory for analysis

We are using price action and quarter theory for analysis in the larger time frame and the BTMM method for a good time and position to enter trades (sniper entries).
You will need three templates on your laptop.
1) BTMM template,
2) Quarter theory lines drawn manually or by indicator
3) Price action support and resistance lines drawn on each pair.
*Install TDI indicator on your phone

Bonyeza link kujoin Telegram Channel na Group (Download Telegram kutoka google app. Whatsapp haifai inalimit ya member, Telegram haijai/no limit)

Signature Traders (BTMM)

Signature Traders Tz (BTMM)

Asanteni
 
Bachelor of health systems management - Mzumbe

Thank me later
 
wakuu Nina rafiki angu alimaliza form six mwaka 2014 HGK aliparmta division two ya 8 by then sasa nilikuwa nauliza naweza mshauri akasome kozi IPI chuo kikuu except education
Thanks
Kwani yeye anapenda kusomea mambo gani?, ili watu waanzie hapo kumshauri, kuna Course ipo UDSM na UDOM inaitwa Bachelor of Arts in Geography and Environmental studies ni nzuri na vigezo ni lazima uwe na 2 Principal Passes & one must be in Geography,pia UDSM kuna hii nyingine anaweza kusoma inaitwa Bachelor of Arts in Public Relations and Advertising ila he/she must have 2 principal passes and Credit of English subject at O-Level. Pia mwambie apitie TCU Guide Book, wameelezea vzr course na vigezo vyote vinavyohitajika kwa kila chuo. Kila rakheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…