fungua duka kubwa la nguo aina zote,i mean za watoto,na za watu wazima tena za mtumba,tafuta location nzurii,kila wiki unaenda nairobi kukusanya mzigo kwa bei nafuu,tengenezamarketing segmentation inayoeleweka,mimi naamini KATIKA BIASHARA ZINAZOLIPA BIASHARA YA NGUO AU CHAKULA ZINAONGOZA KWA SABABU NI BASIC NEED KWA BINADAMU YEYOTE,KAMA UNAHITAJI MAWAZO ZAIDI PM ME