Alooooooooooo.
wabongo tunakariri maisha.
tunaamini kwamba maisha ni kusoma kozi za afya na ndo maana hata advanxe wanafunzi wanaosoma pcb ni wengi but matokeo yakitoka wengi ni chali plus ma competition kibao unajikuta kama wewe akili yako ni tiamajitia maji.
sema kuingilia maamuzi ya mtu nayo si vizuri sana ila mshauri akasome pharmacy md hawezi pata kwa marks hizo labda asome diploma ya clinical medicine.