Ushauri wa busara

Tatizo lako ni kutokuwa na elimu sahihi juu ya jinsia ya kike na maana ya ndoa.ukisha funga ndoa hiyo nakushauri wewe na huyo mtarajiwa wako muanze kwa pamoja mafunzo hayo. tahadhari; hayapatikani kanisani au msikitini pekee!!!!
 
Ila sababu ya kosa si ndio hiyo ya kukuta pako used tofauti na matarajio yako, na akasema alifanya mara moja tu.
Au ww unataka sababu ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…