ema mponzi
Member
- Sep 21, 2018
- 5
- 1
Kwa mnawapeleka watoto pre form one wanafundisha civics,chemistry,biology,physics,math,english nq geography wengine mpka history kweli mnawaaribu watoto na ndio mwanzo wa kufeli.... napita sehemu wanafundisha pre form one wanawakaririsha biology definition yenyewe kama risala kweli tena mnawapoteza bora mda hu wasome masomo yasiyochosha ili wajiandae na pre form one hayo masomo jiandaeni kwa ajili ya tution badae...
Nawaambia hili kwa sababu nina uzoefu unaenda huko shule unamuandikia mwalimu definition ya huko ulikolishwa matango pori unashangaa hupati hata siku moja .. wazazi , ndugu kuweni makini kwa hili
Nawaambia hili kwa sababu nina uzoefu unaenda huko shule unamuandikia mwalimu definition ya huko ulikolishwa matango pori unashangaa hupati hata siku moja .. wazazi , ndugu kuweni makini kwa hili