Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,169
- 29,876
Hili kuinusuru CCM yasije yakatokea yaliyoikuta KANU Kenya ni busara kipenzi cha wengi mh Edward N Lowassa apewe bendera ya chama aipeperushe bara na visiwani.
Mkuu mingoi mbona unatumia neno tutapambana kwani wewe na Lowasa mpoje mkuu.Lowassa hana chama zaidi ya CCM tutapambana humo humo mpaka kieleweke
Mkuu nduka acha kuchekesha watu !bana ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Mapenzi yenu fanyeni naye gesti au kwenye gari, ikulu sio hospitali ya kupokea wagonjwa sugu.
Huyu ndugu ana mtaji wa pesa tu na ssi mtaji wa kisiasa.
Bila CCM hapati hata panzi wa kumshawishi agombee!
Huo u"sugu" alikusugua wapi?
lowasa ndani ya ccm ni sawa na samaki ndani ya maji, ukimtoa kwenye maji hawezi kuishi tena.
ccm wakimpitisha lowassa hakuna haja ya kupiga kampeni,anapita bila kupingwa.wananchi wanamkubali sana
Angekuwa ni mtu anayeweza hata kunyanyua kikombe cha chai ningekasirika ila kwa huyo ni sawa na kuniambia nitapigwa kofi na maiti. Kama mnataka kufanyia msiba Ikulu muombeni Jakaya kabla hajaondoka amuhifadhi mauti wenu Lowassa hata masaa mawili mfanye matanga kisha mrudi naye ujerumani akachomwe sindano zake.
Nini kikombe! hata huo ungo wako anaweza kuuvunja si kuunyanyua tu.
Mkuu nduka acha kuchekesha watu !bana ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
Umejuaje? Alivunja wa mama yako mzazi?