Ushauri wa bure kwa wanawake na wanaume

Thread hii inatufundisha nini? Ukimsubiria hivyo Zari Boss lady utasubiri sana.

Wanawake wanaochakaa ni wale wasiojiweza kiuchumi, lakini wenye nazo bado wapo wapo sana kwenye game mpaka 60 years old huko ndio wanazeeka.
Zari kweny game hayupo anabust shape ila wapi washikadau kibao wanamuona takataka kama hujui..Sasa anahonga vijana wadogo ndo wanatoka nae huyo Diamond amauona zari hamna kitu ni hao watoto tu..
 
Zote hizo ni illusion
Binafsi Mimi sipo tiyari kumsaidia Mwanamke hata Alie machozi ya damu

Na sipo tiyari kuoa

Mimi ntasaidia Yatima tu
Kuoa iweke kama ni involuntary action tu kwamba ikatokea mpaka ukampenda na wazo la ndoa likaja automatically ndo uoe ila sio kujipa presha ya umri ..
 
Thread hii inatufundisha nini? Ukimsubiria hivyo Zari Boss lady utasubiri sana.

Wanawake wanaochakaa ni wale wasiojiweza kiuchumi, lakini wenye nazo bado wapo wapo sana kwenye game mpaka 60 years old huko ndio wanazeeka.
Uko sahh kuna bibi mtaani kwetu n mrembo hatar mpaka huwa najiulza huyu enz za 18-30 alikuwaje,.pesa ipo..
 
Shida yote hii ni ya nini mkuu!..?
Siwez tumia pesa kumtafuta mwanamke mimi!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…