Ushauri wa bure kwa wanaume


Kama tunatumiana kauli kama 'nimemgonga','nimemla',nimemlamba' huwa yanatoka wapi?
Kuhusu swali la pili kwa kweli mimi vyotevvyote hapo....magonjwa naogopa sana na wivu ninao sana. Yan that feeling kwamba kuna mtu anapetiwa kama mimi,anabembelezwa kama nnavyobembelezwa mimi.....daaah it makes me sick
 
umri gani?????

mambo ya kuchezewa hayapogi.... watu huwa wanatafuta mere excuse tu...

Umri wowote ule utakaojisikia unahitaji kweli kuolewa........

kukaa na binti miaka kadhaa unamtooomba we halafu akifika age fulani unamtosa unachukuwa mwanamke mwingine fasta unaoa hiki nini sasa?
 
Umri wowote ule utakaojisikia unahitaji kweli kuolewa........

kukaa na binti miaka kadhaa unamtooomba we halafu akifika age fulani unamtosa unachukuwa mwanamke mwingine fasta unaoa hiki nini sasa?

uchumba sugu huo matokeo yake ndio hayo

halafu ñi mnat..mbana. hilo tendo si mnafanya wote wawili
 

Na usipokuwa na wivu ujue hamna mapenz hapo
 
Pipi ya kijiti? Mi nilidhani anawapa somo wanawake wenzake jinsi ya kula pipi kijiti.
 

umri wako tafadhali...
 
Hayawani na nani living things ndivyo vinavyotumiwa...

wengineo kama mnajitambua, basi mnatumiana.

salute!
 
Mara nyingi wachepukaji wanapenda kupendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…