Ushauri wa bure kwa Nkurunzinza

Ushauri wa bure kwa Nkurunzinza

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
Utangulizi:
Kinachoendelea Burundi ni chokochoko za kudestabilize nchi iingie kwenye machafuko especially genocide. Waasi wanaua raia hovyo hovyo kwa jina la upinzani. wananchi ambao wanamuunga mkono Nkurunzinza ambao ndio wengi wanachokozwa ili walipe kisasi kwa raia wenzao wachache ambao wanaunga mkono upinzani. Situation kama hii ni ngumu kwa serikali yoyote ile ikiwamo ya Nkurunzinza. Jeshi au polisi haliwezi kuwapata waasi hawa kwa kuwa wanafanya mashambulizi ya kigaidi na kupotea. Kwa upande mwingine huwezi kuzuia raia ambao watalipiza kisasi kutokana na mashambulizi yanayolenga jamii yao. Kwa vyovyote vile mauaji ya visasi yatakuwa ni responsibility ya serikali. Serikali italaumiwa kwa kushindwa kudhibiti waasi na vile vile kwa kushindwa kudhibiti raia wanaoua raia wenzao.

Nini cha kufanya:
Cha kufanya haraka sana ni kushirikiana na jumuiya ya kimataifa. Waswahili husema mchawi mpe mtoto amlee. Haraka sana Nkurunzinza anatakiwa kualika majeshi ya UN ya kulinda amani lakini yenye mandate ya kupokonya silaha na kufanya mashambulizi kama ile tuliyokuwa nayo Tanzania dhidi ya M23. Kwa kufanya hivyo jumuiya ya kimataifa itakuwa ndiyo yenye mzigo wa kupambana na waasi hawa. Na mara moja watagundua nani yuko nyuma ya waasi hawa. Ni kama vile tulivyokuwa tunaulizana nani ni M23 lakini baada ya UN kuingia, ikatolewa ripoti iliyoweka bayana nani ni nani. The same needs to be done in Burundi.
Hili inabidi lifanyike haraka while Nkurunzinza still has legal legitimacy as president. Siku zinavyokwenda kuna uwezekano image yake ikawa so tarnished kiasi kwamba jumuiya ya kimataifa imtenge kama rais, na kuweka sharti kwamba ili walete jeshi inabidi yeye akae pembeni. Hivyo waasi watakuwa wameshinda lengo lao.
Solution rahisi ni ku engage international community, waasi/wapinzani waitwe, wahojiwe ninyi ni nani na mnataka nini? Since hawana hoja yoyote ya kisheria na bado wanalenga raia wasio na hatia, the entire world will be against them na hivyo Nkurunziza atakuwa exonerated. Vinginevyo Nkurunzinza akiendelea kushughulikia suala hili peke yake ataishia kule kule kwa Habyarimana ambaye alipendelea mazungumzo badala ya vita hata kusaini mkataba wa amani, lakini leo hii waasi waliofanya mauaji ya raia wasio na hatia kwa miaka minne na mwisho kumtungua kwa kombora, wanasema yeye ndie genocidaire!
 
Ngoja niku PM address zake. Ila umshauri aachie madaraka.
 
Yaani hiyo ni kweli nausishangae mashambulio hayo yana ungwa mkono na majirani
 
lol! kweli huu ushauri ni wa bure ingawa najuwa wewe utakuwa ushalipwa zako na FDLR... ushauri gani umejaa upumbavu? hebu kwanza nijibu hili swali, lakini uinterahamwe pembeni, hivi umekuwa ukimtambua Nkurunziza kama Raisi wa Burundi kwa miaka mingapi na kwa awamu ngapi?
cha kufanya ni kuwapisha warundi wajaribu mtu mwingine waone kama atawatoa kwenye umaskini walionao, hivi Nkurunziza angekuwa legitimate president tungefika hapa pote? mtu angeapishwa saa sita na kutoa tangazo pamoja na mwaliko asubuhi saa nne? acha vichekesho jMali, nyie endeleeni kumtafutia Nkurunziza mchawi nje ya nchi wakati mambo aliya provoke mwenyewe...
mi nafikiri huu https://www.youtube.com/watch?v=FToWhIRAM34 ndio ushauri wa bure na sio huo wako uliojaa chuki na unafiki kana kwamba ukweli hauujuwi...
 
Hee! FDLR bado ipo? Si majuzi tu ulinipa pole kwa kupigwa? Hahaha. Anyway, Nkurunziza ni rais halali kwa mujibu wa katiba halali ya Burundi. Na hili linathibitishwa na MAHAKAMA. Uhalali au uharamu ni juu ya raia wa Burundi. Sio mimi wala wewe. Wingi wa miaka sio hoja. Mbona hauhoji urais wa Kagame wa miaka zaidi ya 20? Mbona hauhoji uhalali wa Museveni wa miaka zaidi ya 27? Hawa wote pamoja na kwamba "hatuwaelewi" kama watanzania, ni viongozi halali huko nchini kwao. Believe it or not, hata wakiibuka magaidi hapo Kigali wakawa wanaua raia hovyo hovyo ili kumshinikiza Kagame aachie madaraka, international community including me, tutamsupport Kagame! Kwa sababu constitutionally yeye ndio rais na anatambulika hivyo worldwide. There is no any justification ya kuua watu hovyo hovyo kwa sababu za kisiasa.
Machafuko yanayoendelea Burundi hayana msingi wowote kwa sababu waasi hawataki mazungumzo, wao wanachoma magari moto, wanatupa mabomu hospitalini n.k. wakitaka nchi isitawalike. How do you justify that?
Lastly nikukumbushe kuwa watutsi wameendesha Burundi toka 1962, je waburundi walikuwa na afadhali kwenye umaskini wao kabla ya Nkurunzinza? Do you know kwamba chini ya mtutsi mmoja Burundi ilifikia hatua ya kutengwa? Umaskini walionao warundi unatokana na viongozi madikteta wa kitutsi, huwezi kumsingizia Nkurunzinza kwa hilo.
 
lol! yani we bwana, ndio maana hata wabongo hawachelewi kusema article yako imekaa kihutu, huwa nabaki na cheko kwani huku kwetu ukisema mambo ya kihutu na kitutsi hata mimi ntakukimbia na sio kwamba naogopa kukamatwa bali nakuona kama vile mbaguzi na hivyo sio vema kujihusisha nawewe, anyway hiyo ndio hali halisi kutokana na historia mliyotuachia... haya, jMali mambo ya chenga pembeni! kwani wewe haujuwi jinsi katiba ya Burundi ilivyo kaa kimagumashi? najuwa hilo unalifahamu lakini kwa sababu ya tunazozijuwa mi na wewe ndio maana unataka kujifanya kuitetea katiba... kwa kifupi wananchi walikuwa hawajuwi hizo Techniques zote za hapo awali wao cha msingi ilikuwa ni nchi kuwa na amani, walipoona jamaa awamu ya kwanza hola na ya pili ndio kwanza anahangaika na kufunza watu kunoa mipanga(Imbonerakure) chini ya usimamizi wa wataalamu FDLR! haikupita mda mrefu tukaanza kuona watoto(kama sikosei victim wa kwanza wa Nkurumbi alikuwa mtoto, scout) wanawake na wazee wakianza kuuliwa na askari barabarani kwa sababu ya maandamano huku wengine wakikimbia majumba yao kwa sababu ya vitisho vya Imbonerakure... haya yote yalifanyika hata kabla ya uchaguzi, hata watu wake wa karibu walimwonya na tena nakuhakikishia hasingekosekana mtu wa kumfwatia na nchi ikasonga mbele... kwa bahati mbaya sana kakutana na warundi nao hawapendi upuuzi, ingawa unasema eti walikubali mazungumzo ya Arusha kwa sababu ya vikwazo lakini vita za kila siku na tawala dhaifu, navyo vilichangia! kwanza sio wakabila kama mlivyo... Burundi kama vile mataifa mengine machache eti waliwahi kubalikiwa kuwa na mmoja wa viongozi wa kuigwa kama vile Bagaza, jamaa aliinufaisha Burundi kwa kila namna, waliomfwata wote walikuwa watu wasio na msimamo, waendekeza ukabila, anasa... mtu kama mimi nnayeijuwa Burundi kwa mda mrefu, huwa nikiifananisha na Rwanda ndani ya miaka 21 nabaki naomba Mungu amwongezee uzima Raisi wetu Kagame atuongoze mpaka tunyooshe mikono juu wenyewe, hebu angallia jinsi wahutu wenzake wanavyomlaumu kwa kuwahaibisha chini ya utawala wake, huku watutsi nao wakijuta kwa nini waliachia nchi... kwa wewe mpenda ukabila, hivi wahutu wenye busara unafikiri hawakasilishwi na utawala uliopita wa Nkurumbi? mi nafikiri kipindi chake ulikuwa ni wakati muafaka wa kuonyesha ulimwengu kilicho waweka porini kwa zaidi ya miaka kumi au vipi? sio ushindwe alafu uanze kunoa visu na mapanga! hiyo hapana kabisa!
 
1. wabongo au wewe mwenye ID za kuanzia 2013?
2. Katiba ya Burundi haina magumashi, ilikuwa na utata pale kwenye suala la transition, ambalo in my opinion Nkurunzinza angetumia busara na kutogombea isingeleta shida. Nothing wrong with their constitution. Huwezi kufananisha na ile katiba yenye jina kamili la mtu na inayompa mamlaka mtu huyo kutawala mpaka 2034, lakini eti katiba inasema akifa, au ikitokea asipochaguliwa huyo mtu basi mtu mwingine atakuwa na ukomo wa vipindi viwili kama kawa! Mimi nakupa changamoto ulete kifungu chochote kile kwenye katiba ya burundi ambacho wewe unaona kina 'magumashi' kama unavyodai. Prove your claim. Karibu.
3. Hakuna mauaji yoyote yale ambayo yalianzishwa na serikali au imbonerakure. Mauaji yalianza baada ya upinzani kuchukua silaha na kupambana na serikali halali iliyoko madarakani. Again, prove it. Onyesha timeline nani alianza vurugu. Kumbuka nchini Burundi, maandamano ni halali. Ndio maana mpaka leo ndugu zako wanaandamana wao tu nchi nzima. Shida inakuja pale mnapopindua magari na kuchoma moto, mnapoua raia wasio na hatia katika maeneo ambayo mnajua kabisa jamii yenu haiwezi kupatikana hapo, etc.

Pata habari zaidi:
"While eyewitnesses reported seeing between 300 and 400 men in military uniform crossing from Rwanda the morning of the attack, Kayanza's governor also claimed he believed the rebels came from Rwanda.
kayanza-rwanda-burundi.jpg
Kayanza province, where a group of armed men clashed with the Burundian army near, is located near the Burundi-Rwanda borderGoogle MapsThe local journalist also told IBTimes UK: "There is a rebellion that has arrived from the north, from Rwanda. The rebels are coming from the (Kigira) forest that sits between Rwanda and Burundi."

While there have been reports that the rebels may have come from the Democratic Republic of the Congo and not Rwanda, the political analyst said she believes that a majority of the rebels are Burundians trained in Rwanda.

Captured fighters, meanwhile, told local journalists they had been trained for two weeks in the Nyungwe forest in Rwanda, and that their instructors spoke Kinyarwanda ? the official language of Rwanda.

" source: Burundi: Who are the armed rebels supported by the country's exiled dissidents?

4. Huyo Bagaza unayemzungumzia ndio aliyeongoza mauaji ya wahutu wakati anaingia madarakani. Na hata alipopinduliwa akiwa Ubelgiji au ufaransa (maana sikumbuki), alipokelewa na maandamano ya wahutu waliomkimbia nchi hiyo. Ila i agree that ingawa hakujawahi kuwa na dikteta mzuri Burundi, compared to madhambi ya others, huyu kidogo ana afadhali. But i thought hoja ilikuwa wether Burundians were better off financially chini ya madikteta watutsi, je unaweza kuja na statistics tufanye comparison jinsi Nkurunzinza supposedly alivyowaangusha warundi?
Pili, unajinasibu kuwa unaijua burundi? tena mda mrefu? who are you kidding?
 
Hee! FDLR bado ipo? Si majuzi tu ulinipa pole kwa kupigwa? Hahaha. Anyway, Nkurunziza ni rais halali kwa mujibu wa katiba halali ya Burundi. Na hili linathibitishwa na MAHAKAMA. Uhalali au uharamu ni juu ya raia wa Burundi. Sio mimi wala wewe. Wingi wa miaka sio hoja. Mbona hauhoji urais wa Kagame wa miaka zaidi ya 20? Mbona hauhoji uhalali wa Museveni wa miaka zaidi ya 27? Hawa wote pamoja na kwamba "hatuwaelewi" kama watanzania, ni viongozi halali huko nchini kwao. Believe it or not, hata wakiibuka magaidi hapo Kigali wakawa wanaua raia hovyo hovyo ili kumshinikiza Kagame aachie madaraka, international community including me, tutamsupport Kagame! Kwa sababu constitutionally yeye ndio rais na anatambulika hivyo worldwide. There is no any justification ya kuua watu hovyo hovyo kwa sababu za kisiasa.
Machafuko yanayoendelea Burundi hayana msingi wowote kwa sababu waasi hawataki mazungumzo, wao wanachoma magari moto, wanatupa mabomu hospitalini n.k. wakitaka nchi isitawalike. How do you justify that?
Lastly nikukumbushe kuwa watutsi wameendesha Burundi toka 1962, je waburundi walikuwa na afadhali kwenye umaskini wao kabla ya Nkurunzinza? Do you know kwamba chini ya mtutsi mmoja Burundi ilifikia hatua ya kutengwa? Umaskini walionao warundi unatokana na viongozi madikteta wa kitutsi, huwezi kumsingizia Nkurunzinza kwa hilo.

1. Mnafiki at his best.

2. Yaani umegubikwa na chuki dhidi ya watutsi kiasi kwamba you are beyond reasoning. I really feel sorry for you that you can't do any productive activity that will help you and your family of interahamwes but instead you spend hours digging anything that might help you achieve your goal. Total anihilation of the Tutsi. It will never happen.
 
Watu wenye itikadi za uburetwa hawapaswi kuishi
 
jmali you are fighting a loosing battle,wenzako mliosaidiana kufanya ile 94 genocide wamekufa or wako jela na wengine wamekuwa rehabilitated na sasa ni productive member of society,rudi kwenu Rwanda rungu la justice likushukie hopefully halitakuwa kali kama mlilowapa innocents victims wenu in 94.
 
jMali pata wosia wa mzee https://www.youtube.com/watch?v=89y34eUG5Ao , labda itabadili kidogo mawazo yako maana kila nikikuambia ubaguzi mbaya we haukubali, ukabila umekutafuna kiasi kwamba hauoni ubovu wa Nkurunziza? kazi ipo!

You know huyu deluded chizi Jmali he sees himself as a freedom fighter,hata Hitler alikuwa anaamini all the killings he was doing was to save humanity from self destruction and communism,hawa machizi wapo throughout human history na only way to deal na hawa machizi is not negotiation,ni prison or kuwalipua tuu,jmali hakuna mtu mwenye akili anaweza kukaa meza moja na interahamwe nafikiri unaelewa hilo.
 
Back
Top Bottom