Ushauri wa bure kwa Nape Nnauye

Ushauri wa bure kwa Nape Nnauye

Najua nia yake ya kufanya hivyo inaweza kuwa kwa maana ya kufanya kinachoitwa kujenga chama chake, lakini akumbuke hao hao anaodhani anawajenga kuna siku watamuita mkosa adabu siku atakapowapinga, let it be kutafuta uongozi ndani ya chama au vyovyote. kumbuka wanaokushangilia na kukuita mfalme leo, kesho watakupiga mawe. jitahidi kuwa na mahusiano ambayo ni cross cutting kwa maana ya kuheshimu watu kwa utu na ubinadamu wao. Nani ajuaye? mtumwa wa leo anaweza kuwa mtawala kesho. kama ulimheshimu, kumbuka natumia kumheshimu na siyo kutomkosoa, atakuheshimu pia.
Vintage JF..... mlikua mnaona mbali sana kuhusu huyu jamaa ila aliwapuuza.
 
Magiri,
NAKUSHUKURU SANA SANA KWA USHAURI WAKO. NAKUAHIDI KUUFANYIA KAZI USHAURI WAKO! Kama wengi jukwaani hapa wangetumia style yako hii ya kushauri kwa lugha ya kiungwana sana jukwaa hili lingekuwa uwanja mzuri sana wa kuzungumza mambo makubwa!
Narudia kukushukuru sana!

Hatimaye yale uliyoambiwa sasa yametimia.
 
Back
Top Bottom