ushauri wa bure kwa Nape Nnauye. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauri wa bure kwa Nape Nnauye.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by magiri, May 12, 2011.

 1. m

  magiri Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwangu mimi Nnape ni moja ya wanasiasa na viongozi wazuri katika nchi hii. Rekodi yake ina mazuri ya kujifunza,kifupi ni mtu ambaye anakereketwa na haki. Na tukumbuke watu wote revorutionary pamoja na sifa nyingine huwa wakereketwa wakubwa wa haki. nape alijionyesha tangu mapema na ndo maana ya mgogoro wake na EL na uv ccm baada ya kukataa confusion iliyokwepo kwenye mkataba wa jengo la uv ccm. ushauri wangu kwa nape ni kumtaka asiwe tena mtu anayetumiwa. ni kweli yeyeni msemaji wa chama chake lakini aangalie kusema kila kitu . vinginevyo akighiribuka na hadhi ya usemaji tu bila tafakuri atajikuta yale aliyoyabomoa ndo anayajenga tena. akumbuke pia chama chake kiko very defiled na ufisadi bila kujua anaweza anza kutetea wale aliokuwa anawapinga na mwisho wa siku hao anaowatetea watamjumuisha kwenye kashifa zao hata walau tu kwa yeye kuwasemea. anapotetea chama chake dhidi ya hoja za ufisadi awe makini maana almost wote ktk chama chake wameoza kwa ufisadi. namshauri kuwa na haki ileile aliyoipigania kabla ya kupewa madaraka makubwa ya chama. uzuri wa juu zaidi wa mtu ni kukubali kufia haki. The highest good of any induvidual is when he/she ready to die for just or rather what he believes to be true. Nape unaeweza bado kusimama na haki? vinginevyo nachelea utatumiwa na mwisho wa siku credibility yako itashuka mbele ya jamii ya watanzania kwa sababu labda ya kujifanya kuwa msemaji wa chama na kuanza kuunda tuhuma uchwara dhidi ya viongozi wa chadema. unapopew kusema chochote nawe changanya na dhamiri yako kama kweli unayoyasema ni kweli!!! vinginevyo utatumiwa. kwa heri kwa leo.
   
 2. Supervisor

  Supervisor JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 553
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Hv nape ndo nani? Mbona hasemwi vzr humu jukwaan? Hv anajua kama hana mashiko? Duh au ndo wele viwavi jeshi walio mwagwa na mukama humu ndan? Ha ha ha ha.. Kwl viwavi jeshi hamnazo. Ni hayo 2
   
Loading...