Ushauri wa bure kwa Mh. Paul Makonda

Rio Tinto

JF-Expert Member
Sep 18, 2014
777
451
Kwanza ningependa ku declare interest mm ni miongoni mwa vijana wengi ambao tuko inspired na Paul Makonda kabla hata hajakua mkuu wa mkoa because of his humble background...umeonyesha njia kwa vijana wengine kujitokeza mbele na kushika hatamu ya nchi hii...
Ila kuna kinanipa ukakasi na Mh. Paul Makonda na hili sio lingine bali ni his lavish dressing style..mara nyingi nimemuona akivaa suti za sheria ngowi ambazo bei zake ziko kati ya 1.5million mpaka 2 million kama sikosea kiufupi ni very expensive for ordinary mwananchi like me and you na hapo ndio wasiwasi wangu unapoanzia kwa sababu ili uweze ku maintain dress code za sheria ngowi lazima mfuko uwe mrefu...sina shida na wasanii ama wafanyabiashara wanaovaa suti za gharama kubwa ila kwa viongozi wetu lazima kuwa na mipaka ya life style najua Mh. Paul Makonda ni kijana msikivu sana na ataufanyia kazi ushauri huu..

Tuna imani na wewe Mh. Paul Makonda...
 
Sasa hapo mimi sijaelewa kama unataka aseme amezipataje au unataka aache kuzivaa kwakua umesema ni msikivu?
 
ma ccm yanasutana kuhusu mavazi hahahaha
CHURA yameshiba sasa yanasutana.

48460-140.jpg


swissme
 
Dunia ya sasa kaka rio iko mbali
Technology imekuwa
Utandawazi umekuwa

Kama makonda anafanya kazi kwa sheria naona Hakuna tatizo kabisa viongozi wana haki ya kupendeza na kuvaa vitu vizuri ingawa kama uliyosema ni muhimu waangalie thaman ya hivo vitu kama ni bei kubwa wajaribu kuendeana na culture y Watanzania
Lakini bado sioni tatizo sana
 
Jamaa labda anataka aangiliziwe nafasi zaa ukuu wa wilaya zilizo baki.
 
Back
Top Bottom