USHAURI WA BURE:acheni ''WIVU'' kwenye ''MIPANGO YA KANDO''



Teamo umeamua kuvunja ukimya?....hongera. Ila hapo kwenye red naona kama panakinzana na thread nyingi zilizopita zenye kuhusu uhalisia wa mapenzi kati ya mipango ya nje!!

Aiseeee!!
Wanasema vipo vya kushare lakini sio mapenzi....sasa sijui ukiwa na mpango wa nje ni mapenzi ama?

Hapo sasa............kwa kweli ni ngumu kutabiri na pia ni ngumu kuelezea ila ninachoelewa ni kuwa mapenzi si channel za kwenye TV kusema kuwa ukiona unakuwa addicted unabadili channel kuondoa addiction. Unawezajikuta umepata hisani ya mara moja ukanogewa but unajiapiza I will not fall, then unarudia then baam anapromotiwa na kuwa mpango wa kando. Sasa mpaka ufike huko nashindwa kuelewa namna utakavyoseparate hisia na starehe. Kama unaridhishwa na unafurahia si ni lazima utakipenda jamani? Then ukishakipenda kitu si rahisi kutokionea wivu............hata hao wanaosema hawana wivu si wa kweli wanaumia moyoni sema tu wamejaaliwa utashi na uwezo wa kujizuia kuonyesha.

Kwenye mapenzi wivu ni inevitable ..............tunatofautiana tu namna ya kuhandle.

mi nalia na hawa wanaojiita wana ndoa...!

hivi una ndoa (mume/mke)....halafu una hobby na mipango ya kando...halafu unaleta wivu?....!gademu

Cha muhimu ni kujizuia kujaribu....kwa sababu ukijaribu ukakolezwa lazima ujenge kibanda na ukikijenga huweziruhusu mmasai aje achomeke mkuki...........lazima utagumia

SO TUACHE KUJARIBU, TURIDHIKE NA TULIONAO.
 

Huu ujumbe ni platinum na hauhitaji chumvi wala sukari... cha maana tu ni kuutekeleza na charity begins at home

Kuanzia leo ntaubeba huu ujumbe popote niendako
 
unajua mj1,

mimi naudhiwa sana na wivu....!

hatukatai wivu ni inevitable...lakini sasa kwenye infii mi sidhani kama tunahitaji wivu
 
unajua mj1,

mimi naudhiwa sana na wivu....!

hatukatai wivu ni inevitable...lakini sasa kwenye infii mi sidhani kama tunahitaji wivu

Nafanya utaratibu wa kuondoa wivu kwa nafsi yangu.....wivu kwa mpango wa nje....mpango wa nje unakua open relationship....open & open!
Damn....i cant!
 
Nafanya utaratibu wa kuondoa wivu kwa nafsi yangu.....wivu kwa mpango wa nje....mpango wa nje unakua open relationship....open & open!
Damn....i cant!

hata wewe unaeeeeeeeeee???????????????
 

Hahahahaha Deus huyu huyu wa matumbo mawili?

Hata mm alikuwa ananionea wivu yule shem. wako aliye fariki Mwanza.

Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
 
Hahahahaha Deus huyu huyu wa matumbo mawili?

Hata mm alikuwa ananionea wivu yule shem. wako aliye fariki Mwanza.

Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
ni deus huyu huyu....

deus Ti...!

ananidissapoint sana
 
mi nalia na hawa wanaojiita wana ndoa...!

hivi una ndoa (mume/mke)....halafu una hobby na mipango ya kando...halafu unaleta wivu?....!gademu

dah...lazima kuna kitu kwisha tokea....
 
unajua mj1,

mimi naudhiwa sana na wivu....!

hatukatai wivu ni inevitable...lakini sasa kwenye infii mi sidhani kama tunahitaji wivu

Teamo;1707245]unajua mj1,

mimi naudhiwa sana na wivu....!

hatukatai wivu ni inevitable...lakini sasa kwenye infii mi sidhani kama tunahitaji wivu[/QUOTE]
Teamo ninaposhindwa mie ni hapo mambo mawili
1. Namna ya kutenganisha mapenzi ya infii na mapenzi ya kweli kama apatayo mpango mzima. Kwani nijuavyo kama kweli umependa basi muhusika mkuu ni moyo ambao ni mmoja (au kuna sehemu inayotengeneza mapenzi feki/nusu yanayomfaa infii na nyingine ya mapenzi ya kweli yanayomfaa mpango mzima??)............au mnifundishe mapenzi ya mipango ya nje yanapendwaje (Unayatoa moyo upi) na yale ya mipango mizima moyo upi?) Nilichokuwa ninaelewa ni kuwa ikiwa mtu ana mpango wa nje hawezizizuia hisia zake za kupenda (Unless from the beginning alishajua na kuamua kuwa huyu anamchezea tu---- hapo sikatai but kuna wale wanaofika bei) wanazizuiaje hisia zao zisiweze kumpenda). Pengine tunashindwa kugundua kuwa sometimes mipango ya ndani mapenzi huisha na kubaki kusurvive kwa msaada wa kitu kiitwacho mazoea - inakuwa ngumu kutofautisha mapenzi yako kwa mpango mzma na mazoea ya kuwa nao huo mpango mzima (Sometimes mtu anawishi angewezakuitunuku cheti mpango wa nje kabisa bali tu akiangalia walikotoka na mkewe/mewe, familia walioijenga, ndugu jamaa na marafiki ... anaishia tu kujiaminisha kuwa anampenda sana mpango mzima kuliko wa nje but am telling you guys wapo wanaopenda mpango wa nje kiukwelii.

2. Namna ya kutenganisha wivu na kitu mapenzi. Ni vije nitautoa wivu wangu kwa mpango wa nje ambao kweli ninajihisi kabisa kuwa nimefika (Hapa najaribu kumfikiria yule baba wa LD alompatia Infii madaraka ya kuikuza familia yake) Mbaba kama huyu amkute infii huyu anachakachuliwa na mwingine hatalia wivu kweli??

Kwangu ninaona ngumu kwa kweli na ndio maana ninasema ni bora kuavoid kabisa kuonja mipango ya nje kuliko kusubiri umeonja, ukaonjeshwa na kuonjeshwa halafu cha kuonjeshwa kikaonjekeka kikanogeka afu ujipe moyo kuwa hutoona wivu.... hapana utashtukia umeua infii aisee....msichezee mapenzi wadogo zangu.
 
Nafanya utaratibu wa kuondoa wivu kwa nafsi yangu.....wivu kwa mpango wa nje....mpango wa nje unakua open relationship....open & open!
Damn....i cant!

Umeona eeh St? Nadhani ndio maana hata ile sheria aliyoitunga Teamo hapa ile ya ukipata infii mzuri kwa malavidave mhabarishe na mwenzako naye afaidi imekuwa ngumu kutekeleza aisee.........Unless si infii bali alikuwa One Nite Stand..................hakuna mtu anayeona sawa kushare aisee na ndio maana mara nyingi mkigundua mpenzi anachakachuliwa mnaacha hata kama ni infii aisee.........sema kwa mpango mzima watu inabidi tu wawe hawana jinsi wacontrol miwivu yao but ndani wanagumia.

Hujawahiona mwanaume mwenye infii wake huavoid/hapendi sana infii awe anamsifia mpango mzima wake??
 
mi nalia na hawa wanaojiita wana ndoa...!

hivi una ndoa (mume/mke)....halafu una hobby na mipango ya kando...halafu unaleta wivu?....!gademu
hivi hii thread inamhusu pia wiselady?
 
Sijui dhambi maana yake ni nini? dah!
Dhambi ni kosa la kiumbe mwenye *hiari dhidi ya uadilifu unaompasa.
Inaweza kufanyika kwa mawazo, maneno, matendo na kutotimiza wajibu.
Maadili yanamuelekeza binadamu katika kutambua dhambi ni zipi pamoja na madhara yake.
Kwa kawaida dini zinahusianisha kosa hilo na Mungu aliye asili ya uadilifu, kwa kuwa ndiye aliyeumba viumbe vyote na kuvielekeza maishani.
Akiwapa baadhi ya viumbe akili na utashi, papo hapo Mungu amewapa wajibu wa kufuata maelekezo yaliyomo katika utaratibu wa nafsi yao na wa ulimwengu wote.
Wakristo huamini yakwamba mwanadamu aliumbwa ili awe na ushirika na Mungu lakini dhambi hutenganisha watu wote na Mungu (Warumi 5:12, Warumi 3:23).


* Hiari ni uamuzi wa kufanya jambo lolote bila kulazimishwa au kushawishiwa na mtu yeyote na kutojutia matokeo ya jambo hilo utakalolifanya kama yatakuwa mazuri au mabaya baadae.
 
Duh nilikuwa sijliona hili li-sredi asee

vere vere.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…