BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Jan 1, 2013 #1 Kama hujawai kuambiwa na mkeo kwamba we ni mtamu. Basi ujue umrizishi mkeo. Jaribu kuwa mbunifu katika mwaka huu wa 2013 hadi siku ukisikia mkeo kakwambia hivyo ujue umefaulu. Happy New Year.
Kama hujawai kuambiwa na mkeo kwamba we ni mtamu. Basi ujue umrizishi mkeo. Jaribu kuwa mbunifu katika mwaka huu wa 2013 hadi siku ukisikia mkeo kakwambia hivyo ujue umefaulu. Happy New Year.