Kweli, IPhone +Samsung +Infinix na hapa aangalie model zilizotoka na hao tecnoKwa makava mengi yanayouzika mjini ya iphone, Samsung tecno infinix hizi brand nyingne Ni kasheshe kdg
Matoleo yanatoka kwa haraka sana mtaani lakn pia design za kava ziko nyingi sana mfano unaweza nunua za midori mtu akataka ya simba na yangaNadhani hapo solution ni kufanya tu research kujua fashion ipi inatembea San sokon ktk hizo cover,,
Yap nakubali sana biashara ya chaja na vikolokolo vingine iko poa sana ila kava ni pasua kichwaWeka na charger, earphones na Usbs hizo hazina mambo mengi,kama mtu anataka type C ni hiyo, zina faida nzuri pia. kwenye makava chagua Yale popular.
Ahsante kwa ushauriMkuu inabidi ujiongeze kidogo mtindo wa biashara yako tafuta simu nzuri ya camera fungua social medias kama insta,fb ,jiji na whatsapp ..ingia kariakoo piga picha kava kali za kila aina especially za iphones post ukipata hela sponsor ads insta…wateja wengi ni wa delivery so hawatosumbua kuja ofisini kwako ila hiyo njia ya kununua ukayaeka itakua ngumu yapo fasta sana kupitwa fashion
Ahsante kwa ushauri
Na je nikifungua izo social network inawezekana kupata wateja wa karibu yangu maana sina usafiri kumfikia mteja inaweza kuwa shida kidogo kwa mteja wa mbali
Mimi mzigo nimeweka kwenye shelf mpaka nikaona kero nikatoa nikaweka kwenye maboxBiashara ya cover weka mbali na watoto,hiyo ni biashara kichaa cha mbwa nipo kwenye biashara ya vifaa vya simu 7 years now ila kuhusu cover ziliwahi kunikata 10milioni nashuudia mwenyewe kila ukifukuzana na model za simu ndio unazidi kuzika pesa yako cha msingi uza vitu vinavyoweza kuuzika vyote mfano Usb cable,Flash,memory card,charger,Bluetooth speaker,Earphones,iPod,ringlight,modern,powerbank etc kama nguvu inaruhusu unaweza kumix pia accessories za computer kwahiyo inakuwa unafanya phone &computer accessories kwa wakati mmoja na nguvu ikiruhusu unaweza ukaweka na visimu vya batani ku push mzunguko bila kusahau pia saa za bei ya kati,smart watch,coin battery etc
Ni changamoto sana mkuu hii biashara ni pasua kichwa unakuta mteja anataka kava ya simu flan ninalo ila inakuja tena either rangi au modal iyo hataki anataka la mdori au la yanga na simbaMiaka ya nyuma kidogo kuna jamaa yangu alifungua duka akaweka vitu mix yakiwemo macover enzi hizo Samsung ndio imeshika kasi..alinunua mzigo kama wa 3 mill..kilichomtokea hakuamini maana kwa macover aliuza si zaidi ya 10 na mengi yakawa yamepitwa na wakati after 1 year ..so ilikuwa hasara..biashara ya cover it's better ukaangalia simu hot cover zake zinatembea sana na nunua MACHACHE SANA.
Ahsante kwa ushauri mkuuBiashara ya cover weka mbali na watoto,hiyo ni biashara kichaa cha mbwa nipo kwenye biashara ya vifaa vya simu 7 years now ila kuhusu cover ziliwahi kunikata 10milioni nashuudia mwenyewe kila ukifukuzana na model za simu ndio unazidi kuzika pesa yako cha msingi uza vitu vinavyoweza kuuzika vyote mfano Usb cable,Flash,memory card,charger,Bluetooth speaker,Earphones,iPod,ringlight,modern,powerbank etc kama nguvu inaruhusu unaweza kumix pia accessories za computer kwahiyo inakuwa unafanya phone &computer accessories kwa wakati mmoja na nguvu ikiruhusu unaweza ukaweka na visimu vya batani ku push mzunguko bila kusahau pia saa za bei ya kati,smart watch,coin battery etc