CarloJesus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 431
- 838
Mkuu Sina ujuzi wowote na hili....lakini nahitaji chuo chochote kizuri...kiwe Cha Selikari au private...nisaidie ushauriCarloJesus, Unataka private au serikali na kada ipi ya afya? Afisa afya, Nursing, lab, clinical officer, dental, biomedical or?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishauri pia course nzuriCarloJesus, Unataka private au serikali na kada ipi ya afya? Afisa afya, Nursing, lab, clinical officer, dental, biomedical or?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nina mdogo wangu kapata D. Ya biorogy na D. Ya chemistry! Je aweza enda kozi gani ya afya?
Anasoma maana wanatakaga d kwenye pcbNina bwana mdogo ana dv ii 19 chemistry c biology c physics d na yaliobaki c anaweza soma afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Physics imemuharibia ingia website ya nacte uangalie kozi mbali mbaliHuyu anaweza soma course gani za afya Biology C ,Chemistry C ,physics F ,Mathematics F ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasoma maana wanatakaga d kwenye pcb
Karibu kam college ila Kama utataka vyuo vya government ingia web ya nacte
Matokeo ya o level
M
Matokeo ya o level
Amemaliza O level mwaka jana matokeo ya jana ndio anaalama hizo sasa najiuliza aende advance au asome chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama utamudu gharama mpeleke tu chuo advance naona tunapotezaga muda