Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,941
- 51,063
Huwezi kuelewa kwani tayari umeufunga mlango wako wa fahamu kwa ushabiki wa Ki-CCM.huo ukawa unahusiana vipi na mambo ya ndan ya chama???haya ya cuf chadema yanawahusu nn?? Mzee haji duni alisema kule chadema kila mtu kambale
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu walisign MoU kati ya vyama washiriki wa UKAWA!!! Hivyo lazma matters zenye kuhudu uhai wa vyama ushughulikiwe pia na vyama washirikahuo ukawa unahusiana vipi na mambo ya ndan ya chama???haya ya cuf chadema yanawahusu nn?? Mzee haji duni alisema kule chadema kila mtu kambale
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushabiki wa kitoto hivi ukiweka track record ya mbowe na huyo lipumba mafanikio ya mbowe ndani ya miaka kumi utalinganisha na mafanikio ya uongozi wa lipumba unaofikia miaka 20 soon?????Hahahahahaha hv ukisema mwanasiasa jabari aliyebaki wa upinzani Tanganyika Lipumba ni number moja rudi maktaba kapekue ni mwanasiasa gani aliyeanzisha vuguvugu la kisiasa ambalo Dr Slaa alikuja kucopy na chadema kutake over 2010 - 2015 chini ya katibu mkuu Dr Slaa cjuh kama nafasi ya Dr slaa chadema walishaijaza? au bado ipo wazi
Hakuna mwanasiasa Tanganyika aliyefikia record ya Lipumba kuanzia kisiasa na kiharakati za kisiasa
Anaweza kuwa hajatumika kwa miaka 18 ila kwenye huu mgogoro obviously anatumika..... huwezi sema unarudi kuokoa chama chako kisife afu ukarudi kwa nguvu je kama aliombwa kwanni asingesubiri uchaguzi ili apite kwa kishindo??Kwanini haya mambo ya alikua anatumika hamuyaongelei toka mwanzo had I mambo yakishaharibika ndio mnajitokeza kuyasema???
Hatuna la maana???? Hivi bila upinzani hayo maufisadu yote ambayo magu anayatumbua mngeyajuaje????Aendelee kuzigawa tu hizo kura, maana hata mkiungana hakuna la maana mnalolifanya zaidi ya matamko na maandamano yasiyotekelezeka.
Badala ya kupanga mbinu kupambana na ccm,manapanga kumalizana wenyewe kwa wenyewe.Tukisema upinzani Tanzania ni wababaishaji mnakuja juuUshauri wangu kwa vyama vya Upinzani hasa chama cha CUF na CHADEMA ambavyo ndiyo vinalengwa na CCM, kwa sasa vibadili mbinu za kupambana na Lipumba. Watendeji wa Serikali wanaomuunga mkono Lipumba hawafanyi hivyo kwa kuwa wanaamini kwamba Lipumba yuko sahihi, bali wanafanya hivo kwa kuwa hawana cha kingine cha kufanya kubakia kwenye kazi zao.
Sisi siyo Mungiki kwa ivo huwezi kusema tunamalizana wenyewe kwa wenyewe!Badala ya kupanga mbinu kupambana na ccm,manapanga kumalizana wenyewe kwa wenyewe.Tukisema upinzani Tanzania ni wababaishaji mnakuja juu
kwa akili yako ndogo inakuongopea kuwa cuf ikifa chadema itakuwa na nguvu!Sisi siyo Mungiki kwa ivo huwezi kusema tunamalizana wenyewe kwa wenyewe!
Ukiona unamuunga mkono Lipumba ujue kwamba unataka CUF ife! Wewe upo upande gani?kwa akili yako ndogo inakuongopea kuwa cuf ikifa chadema itakuwa na nguvu!
Usitujumlishe wote, wengine tangu mwanzo tulisema kwamba Lipumba anatumika. CCM walimbebesha agenda ya Udini ambayo yeye "aliipenda sana".Kwanini haya mambo ya alikua anatumika hamuyaongelei toka mwanzo had I mambo yakishaharibika ndio mnajitokeza kuyasema???
Badala ya kupanga mbinu kupambana na ccm,manapanga kumalizana wenyewe kwa wenyewe.Tukisema upinzani Tanzania ni wababaishaji mnakuja juu
kwa akili yako ndogo inakuongopea kuwa cuf ikifa chadema itakuwa na nguvu!
Naona kwa kujiita kwao Chama Cha Mapinduzi kumewafanya kila siku kutumia mabavu kuendesha mambo yao!Ccm ni chama cha kijeshi na sio chama cha siasa.