Ushauri unatakiwa - kama ni wewe utafanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri unatakiwa - kama ni wewe utafanyaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtafiti1, Jun 16, 2011.

 1. Mtafiti1

  Mtafiti1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Una mpenzi wako mmependana kwa kipindi cha muda wa kutosha ( miezi 9).Mnapendana sana ( amekuhakikishia anakupenda sana). Mnaongea kwa simu, sms, na kila aina ya mawasiliano kila siku.Inafika siku ya siku mnakutana. Unapata mshangao pale ambapo mtanange unashindikana kabisa.Kila anapojaribu - mambo yanakataa. Humuelewi.Unamuuliza kwanini iko hivyo? Anakujibu hata yeye hajui kwanini.Unapatwa na mfadhaiko moyoni.Unajiuliza kuna nini, hupati jibu.
  Je wewe mwanamke ungefanyaje? Wewe kaka imewahi kukutokea hivi na kama ndio ulifanyaje.


  ( KISA CHA KWELI HIKI!)
   
 2. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nahisi kama haieleweki hivi..its too general, ungeiweka vizuri
   
 3. Mtafiti1

  Mtafiti1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  nasema ivi:
  1. kwanini mwanaume ashindwe shughuli pale anapokutana na mpenzi wake kwa mara ya kwanza?
  2. Kama mdada imekutokea hii, utafanyaje? Je utamwacha huyo mtu au utaendelea naye?
   
 4. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 80  lucky_c_pesa:
  If its the first time, I will just choke it up to nerves and/or woga na nisubiri wakati mwingine. What's one day, or even a
  week for that matter, if its as you've said that mmesubiriana for 9 months???
   
 5. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ni mfadhaiko ila hasa unatokana na uchu hasa waname wengi huwakuta kutokana na aidha kupania au uchu na hata kutojiamini kwa wakati ule hiyokitu hata mie isha wahi kunikuta lakini mwanamke alikuwa na hekima kwani aliligundua hilo hivyo alianza kunituliza na kuniondoa wasiwasikwa kubadili story kwa muda ili nirudi kwenye mud then baada ya kama saa moja hivi akaanza uchokozi baada ya hapo laaah asikwambie mtu mambo yalikuwa veeeeema sana hadi alinipongeza lakini mwisho aliniambia nanukuu. (baby najua hali hiyo imekukuta kwa vile its da 1st time na inaonesha ulikuwa umepania sana siku hii ya leo bt plz take it ize najua sasa haitokutokea tena pole mpenzi wangu)mwisho wa kunukuu basi toka hapo haijawahi nikuta hata cku na hadi leo full mishangwe.so try to do dat.
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ni normal hiyo ..
   
Loading...