Lutena
ukitaka kuandika humu ndani usiwe unakunywa viroba ndiyo unakuja humu hiv ulishaona wapi kwa kibongobongo mtu anahama chuo ? yani kutika UDS to SAUTI? yani mijitu mingine sijui hamhielewi na mnavokuwa mnaandika yani mnakuwa kama wabunge wa CCM! ,,,ebu kalale kwanza viroba viishee