Askofu Mihayo TaboraAmucTa ndiyo chuo gani?!!
Hamna Chuo hapo.Askofu Mihayo Tabora
Mh! Ushauri unahitajika mkuu.Hamna Chuo hapo.
Ahsante kwa mawazo mazuri mkuu.Nenda SUA, acha uwoga. Course content hii hapa, kama zimechange ni kidogo sana:
View attachment 3668651
Nenda hafu ukimaliza ondoka iyo kazi.
Ahsante kwa Ushauri mkuu,Ukweli nikuwa huku online learning kuacha sipo tayari kabisa.Hasa Kwa kuwa nachojifunza nimeona kinagusa kabisa maisha yangu na kimenibadilisha kwa kiasi fulani.Kama ulipata full scholarship kusoma online kwanini usiendelee na masomo maana tayari umesoma mwaka mzima sasa
Ukianza upya Sua sijui huko kwingine, utajikuta unapoteza muda mwingine zaidi
Ushauri wangu, bora ustick huko kwenye full scholarship ya Online
Focus na fani mojaAhsante kwa Ushauri mkuu,Ukweli nikuwa huku online learning kuacha sipo tayari kabisa.Hasa Kwa kuwa nachojifunza nimeona kinagusa kabisa maisha yangu na kimenibadilisha kwa kiasi fulani.
Ninachotaka kujua ni ugumu wa huku kwingine kama nitaweza kuchagua moja ili nifanye na Ile ya online, 2 in one.
Huyo jamaa yako ameoa?Ni mtumishi (Mwalimu msingi) aliyeamua kujiendeleza.Aliomba kuwekwa kwenye mpango wa masomo kwa miaka mitatu bila kufanikiwa.Mwaka Jana September,Akaamua kuomba scholarship katika chuo kikuu kimoja chini marekani(online) vilevile akawa ameomba tena kuwekwa kwenye mpango wa masomo.
Akabahatika kupata full funded scholarship na anaendelea na masomo online.Mwaka huu amepata barua ya kukubaliwa kuwekwa kwenye mpango, hivyo akaona afanye application baada ya dirisha la udahili wa vyuo vikuu kufunguliwa.
Katika selection hii amebahatika kuchaguliwa vyuo vikuu viwili.AMUCTa -Shahada ya elimu maalum na SUA Bachelor of science with education (Geo&Math).
Yupo njia Panda achukue kozi ipi kati ya hizi mbili? Vilevile anahitaji kujua kama hiyo Science ya elimu ataweza kuimudu andapo akiichuku hali ya kuwa hajapitia(hajasoma kabisa) advance. Lakini O level ana A ya maths na C ya Geo.
Note:Kozi ya online hajapenda kuiacha na ni B.B.A . Lakini Kama Kuna maoni nini afanye,anayapokea
Msaidieni Ushauri ndugu yetu.
Piga kitabu mkuuAhsante kwa Ushauri mkuu,Ukweli nikuwa huku online learning kuacha sipo tayari kabisa.Hasa Kwa kuwa nachojifunza nimeona kinagusa kabisa maisha yangu na kimenibadilisha kwa kiasi fulani.
Ninachotaka kujua ni ugumu wa huku kwingine kama nitaweza kuchagua moja ili nifanye na Ile ya online, 2 in one.
Ahsante kwa Ushauri mkuuMkuu, Mimi sina maneno mengi aenda SUA chuo cha kibabe, pale unatoka na elimu sio cheti tu. Kuhusu kutopita Advance, Mimi nimepita SUA sikwambii program gani😁 ila Kuna Equivalents nimesoma nao na walitoboa vizuri tu. Pale ukifika kitabu kinaanza upya u-udvance au U-diploma unauweka pembeni.
Mwambie Aende SUA na akakaze maana pale kudisco sio jambo la kushangaza.
NdioHuyo jamaa yako ameoa?
NdioHuyo jamaa yako ameoa?
Mwajiriwa wa ndani ya serikali ya CCM hapimwi kwa chuo chake bali ni umiliki wa cheti.Hamna Chuo hapo.
Akikomaa na online course akimaliza atalazimika kufanyiwa recategorization.Ni mtumishi (Mwalimu msingi) aliyeamua kujiendeleza.Aliomba kuwekwa kwenye mpango wa masomo kwa miaka mitatu bila kufanikiwa.Mwaka Jana September,Akaamua kuomba scholarship katika chuo kikuu kimoja chini marekani(online) vilevile akawa ameomba tena kuwekwa kwenye mpango wa masomo.